Huyu ndiye FIRAUNI/FARAO na maajabu ya maiti yake kutokuoza

Chief naomba nielimishe zaidi; Kwahiyo kwa mujibu wa hiyo aya ni kwamba hakufa bali aliokolewa? Na kama ndivyo then possibility ya yeye kuishi mpaka utu uzima ipo? Lakini swali kuu ni; mwili halisi (the original body) yake ni ipi na iko wapi?
Aya hapo inaonyesha ya kuwa alikufa na ulio okolewa ni mwili ambao tayari hauna roho, ndiyo maana aya ikasema "mwili". Wanao zungumziwa hapo ni wale walio fata ambao ishara zilikuwa wazi kwao ili iwe funzo kwao na si kwetu sisi. Kuanzia hakuna mwenye ushahidi wa mwili kwamba huu ni wa Firauni, na ndiyo maana tunasema hakuna mwili wa Firauni sababu hakuna ithibati hiyo.
 
Binafsi nimeelewa tofauti.......

Hapo aya inasema “....tutakuokoa kwa mwili wako....” hiyo “kwa “ hapo kati inanipa perception ya kwamba aliokolewa kwa kutumia mwili wake hai na sio “tutauokoa mwili wako” (maiti/mfu)

Halafu inaendelea kusema ...”ili ukawe ishara...” nilivyoelewa hapa ni kwamba baada ya kuokolewa kwa mwili wake (hai) akarudi kwa watu ili awe ishara ya uwezo wa Mungu.

.........
 
Mafarao walikuwa wengi...ufarao ni cheo tu kama ilivo uraisi au ufalme..sasa sijui
umetumia kigezo kipi kusema Ramesses ndo wa kipindi Cha Mussa.

BTW muhammad na Quran yake hakujua farao ni cheo....yeye alijua ni jina la mtu aliyekuwa kiongozi wa Misri
 
Ebu Soma hayo maelezo

Screenshot_20210123-023150.jpg
 
Firauni alikufa BAHARINI.
USHAHIDI NI BIBLIA AGANO LA Kale.
Kitabu kutoka 14 Aya 1 mpaka 25 .
Mafarao walikuwa wengi...ufarao ni cheo tu kama ilivo uraisi au ufalme..sasa sijui
umetumia kigezo kipi kusema Ramesses ndo wa kipindi Cha Mussa.

BTW muhammad na Quran yake hakujua farao ni cheo....yeye alijua ni jina la mtu aliyekuwa kiongozi wa Misri
Screenshot_20210123-034501.jpg
Screenshot_20210123-034517.jpg
Screenshot_20210123-034526.jpg
Screenshot_20210123-034535.jpg
Screenshot_20210123-034545.jpg
Screenshot_20210123-034557.jpg
Screenshot_20210123-034610.jpg
Screenshot_20210123-034626.jpg
Screenshot_20210123-034634.jpg
 
Binafsi nimeelewa tofauti.......

Hapo aya inasema “....tutakuokoa kwa mwili wako....” hiyo “kwa “ hapo kati inanipa perception ya kwamba aliokolewa kwa kutumia mwili wake hai na sio “tutauokoa mwili wako” (maiti/mfu)

Halafu inaendelea kusema ...”ili ukawe ishara...” nilivyoelewa hapa ni kwamba baada ya kuokolewa kwa mwili wake (hai) akarudi kwa watu ili awe ishara ya uwezo wa Mungu.

.........
Hapa umekosea, kwanza aya hazifasiriwi kwa mawazo binafsi, sababu kila kitu mtume alikiacha wazi, yaani mtume ameishi miaka yake yote akifasiri Qur'aan.

Huwa kuna sababu za aya kushuka, na ukisoma katika tafsiri ya Ibn Kathir, anaelezea sababu ya kuopolewa mwili wake ukiwa maiti,( ndiyo maana akatumika tamko "mwili" hata katika kiswahili hutumika mara nyingi kuonyesha kuwa mtu ni maiti tayari.) ni baada ya wana wa Israeli kuwa na shaka juu ya kifo chake, ndiyo maana ikashuka aya hiyo, na kuelezea tukio la kuopolewa mwili wake na kweli wakasadikisha ya kuwa yule ni Firaun.

Kwahiyo aya hufasiriwa na mtume, wewe rejea vitabu vya tafsiri upate faida usiweke maoni yako sababu lazima utakosea kama ulivyo kosea hapa.
 
Chief naomba nielimishe zaidi; Kwahiyo kwa mujibu wa hiyo aya ni kwamba hakufa bali aliokolewa? Na kama ndivyo then possibility ya yeye kuishi mpaka utu uzima ipo? Lakini swali kuu ni; mwili halisi (the original body) yake ni ipi na iko wapi?
Ukisikia kauli "mwili wa fulani" ujue roho ishatoka hapo.
 
Hapa umekosea, kwanza aya hazifasiriwi kwa mawazo binafsi, sababu kila kitu mtume alikiacha wazi, yaani mtume ameishi miaka yake yote akifasiri Qur'aan.

Huwa kuna sababu za aya kushuka, na ukisoma katika tafsiri ya Ibn Kathir, anaelezea sababu ya kuopolewa mwili wake ukiwa maiti,( ndiyo maana akatumika tamko "mwili" hata katika kiswahili hutumika mara nyingi kuonyesha kuwa mtu ni maiti tayari.) ni baada ya wana wa Israeli kuwa na shaka juu ya kifo chake, ndiyo maana ikashuka aya hiyo, na kuelezea tukio la kuopolewa mwili wake na kweli wakasadikisha ya kuwa yule ni Firaun.

Kwahiyo aya hufasiriwa na mtume, wewe rejea vitabu vya tafsiri upate faida usiweke maoni yako sababu lazima utakosea kama ulivyo kosea hapa.

Shukran Chief
 
Hizi historia zimeweka kutukuza waarabu na wazungu, hizi mbinu za kuwatawala wengine, tusome zinazotuhusu tu, Zao wasome wenyewe.
 
Hio ni mindset game, ili tujione wanyonge, Hizo historia na dini zao wabaki nazo, tunataka Sayansi tu.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom