Huyu ndiye FIRAUNI/FARAO na maajabu ya maiti yake kutokuoza

Hiyo Ni mummification ...Tunashindwa kuelewa Swala dogo Tuuu ...ati tunajijuta tukisema Ni laana ooh sijui ni Nini .
Hadi machemist Bora kabisa humu if wanashindwa kuielewa Mummification .
 
Hyo mummification inachagua maiti na maiti?.
Mbona maiti zingine haziwi Kama hyo maiti ya firauni?

Screenshot_20210125-173719.png
 
kwa akili tu ya kawaida, kama kweli firauni alisema hayo maneno ni nani aliyeyasikia na kuja kuyasimulia ? hivi kwa mfano mimi ningekuwa ni abiria wa meli iliyozama baharini kabla sijafa niseme maneno fulani alafu nife na abiria wenzangu, nyie huku jamiiforums mtayajuaje hayo maneno ?
Duh! Swali la kitoto haswaa 😂
 
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza huyu mkuu nmewahi kusikia eti maiti yake ipo mpaka leo kuna ukweli wowote?

Na kama ni kweli kwa nini haozi kama wafalme wengine ?

Kuna nini kimefanya amedumu mpaka sasa maana vitabu mbali mbali vinasema amezaliwa b.c

Au huo mwili ni wake kweli ?
 
Mwili wa farao upo mbaka leo ingawa hakuna uthibitisho wa moja moja kusema kuwa ni mwili wake halisi sababu farao ni cheo na ni series ya mfumo wa uongozi uliotokea misri ya kale kwahiyo hakuna uthibitisho moja kwa moja kuwa ndiye yule anaezungumziwa,

Kwanini haozi kama wafalme wengine?
Nahisi umewai kusikia kitu chochote kuhusu mummification hii ni teknolojia ya kale ya uhifadhi wa mwili wa binadamu aliyeafariki na ilikua maarufu sana katika misri ya kale na teknolojia hiyo ilikua inatumika katika sehemu za kifalme kutunza miili ya mafarao waliofariki kwa muda huo,,,

Katika teknolojia hiyo mwili wa farao na viongozi wengine uliweza kuondolewa sensitive organs mbalimbali ndani yake kama vile ubongo, utumbo, ini, na vinginevyo vinavyoharibika haraka na pia waliweza kutumia chumvi pamoja na madawa mengineyo katika kuhifadhi miili hiyo na dawa hizo pamoja na chumvi zilitiwa ndani ya miili hiyo kwa kufanya operation maalumu sababu misri inasemekana ndio miongoni mwa nchi za kale zilizoanza kufanya operation.

Ni kweli farao au ramesses II alikua miaka ya B.C ,, na kilichofany mwili wake umedumu hadi leo ni aina ya utunzaji kuanzia katika makaburi ya hadhi yake pia kingine kilichofany amedumu ni ile teknolojia ya mummification,,,
Kwenye utunzaji katika makaburi watu wa kale waliweza kuhamisha mwili kutoka sehemu moja hadi nyingine pindi itokeapo tatizo flani "refer post #1 katika Aya ya 6 &7".
 
Asante mkuu nmekuelewa
 
Kuna kitabu kimeandikwa kushoto kulia mwanzo hakijulikani wala katikati story haijulikani imeanzia wapi wala mwisho, kitabu kinamlaani farao kwa kutesa Taifa la Mungu israel lakini kitabu hichohicho wafuasi wake wanawaona waisrael kama mahetani. Hata hivyo huyo mumiani hakuwa hivyo kwa ajili ya laana bali wa misri walikuwa na madawa ya asili ya kuhifadhi miili wa watawala wao.ushahidi kila siku unapatikana kwenye makaburi ya wafalme wa kale
Wewe mwiko!!! Hawatakuwa radhi mayahudi na manasara mpaka mfuate mila zao. Teh teh teh. Yaani raha sana.
 
NIMEFANYA uamuzi wa kuandika makala hii baada ya hivi karibuni kuwa na mada juu ya Mfalme wa Misri ya kale (Pharaoh), aliyefahamika kwa jina la Ramesses II. Katika mada hiyo iliyojipambanua katika mfumo wa maswali na majibu, nilikutana na maswali mengi yenye utata hasa katika dhana za kidini katika imani za Kiislamu, Ukristo na Kiyahudi.

Mivutano ilikuwa ni mipana sana juu ya mada hiyo nikaona ni vyema kueleza hilo kwa upana hasa katika mitazamo ya kihistoria.

Hivyo nimeona angalau kwa uchache wake tufahamu nadharia hii ya wanakale (anthologist), juu ya dhana yao ambayo kimsingi hupishana na mafundisho ya kiimani. Ni vyema tukajifunza pia.
Mnayemuita Firauni yani yule kiongozi wa Misri ya kale aliyeishi zama moja na Mussa anayetajwa katika Bibilia na Quran, alikuwa mtu wa asili ya Afrika.

Alikuwa ni mweusi tii! Jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II (Great Ramesses) au Sese. Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa unarudi juu kesho yake, jambo hili limekuwa likipingwa vikali na wanasayansi na wanahistoria wa mambo ya kale ya Misri.
Kimsingi wanakale wamekuwa wakidai kuwa jambo hilo ni propaganda na uvumi tu usio na ukweli wowote mmoja wa wasomi ni Prof Maurice, amekuwa akieleza mara kadhaa juu ya upembuzi wa usanifu juu ya maisha ya mapharaoh hao wa Misri juu ya historia zao na jinsi walivyohifadhiwa kwa teknolojia za kale.

Labda sasa turudi kwenye mada yetu ya leo juu ya Great Ramesses ll kuwa alizikwaje? Kimsingi huyu Pharaoh mwanzo alizikwa kwenye kaburi lilopewa jina la KV7 katika Bonde la Wafalme, lakini kwa sababu ya uporaji wa vitu vya thamani alivyokuwa amevishwa, makuhani walihamisha mwili kutoka eneo hilo na kuupeleka ndani ya kaburi la malkia Inhapy.

Miaka mingi baadaye waliuhamishia tena mwili kwenye kaburi la kuhani mkuu Pinudjem II. Yote hii ni sababu ya kumbukumbu katika Hieroglyphics. Kutokana na matetemeko yaliyoikumba Jiji la Giza miaka kati ya miaka 1000 AD hadi 1500 AD, vitu vingi vilipotea huku baadhi ya masanamu mengi yakiharibiwa vibaya na matetemeko hayo na baadhi ya makaburi, majumba na makumbusho mengine kupotea kabisa. Huku mwili wa Great Ramesses ll nao ukipotea katika matetemeko hayo. Hapa sasa ndio mkanganyiko unapoanza sasa.

Mwanzoni mwa miaka ya 1800, mwili huu ulipatikana tena pembezoni kidogo mwa bahari ya Red sea. Hapa sasa Prof Maurice anadai kuwa Ramesses ll, hakufa kwenye Gharika la Mussa kama watu wanavyodai, mwili wake hadi sasa unathibitisha kuwa alikufa akiwa mzee, zaidi ya miaka 80 kwa maradhi ya kawaida. Pia si mwili wa Ramesses ll tu uliopo kwenye makumbusho ya Misri pale mjini Cairo, ni miili mingi ya Mapharao tofauti na baadhi ya watu walioishi kwenye Egypt ya kale.

Historia yake kwa ufupi
Ramesses II, au kwa jina jingine Sese alikuwa ni mfalme wa pili wa uzao wa 19 wa familia ya kifalme (19TH dynasty). Alikuja kuwa miongoni mwa mapharao wenye nguvu kuwahi kuwepo Misri, ndio yeye aliyeifanya Misri kuwa dola kuu na Serikali kuu yenye nguvu (the world Super- Omnipotence) katika dunia ya zama hizo katika miaka ya 1269 BC. Ramesses II alipewa kiti cha ufalme mapema kwenye umri wa miaka 20 na akaongoza (kati ya mwaka 1279 BC) hadi alipofariki miaka 67 baadaye (1213 BC) kwa maradhi ya mishipa na ini. Aliongoza Misri kwa miaka 67 akiwa ni wa pili kuongoza kwa kipindi kirefu zaidi katika historia ya mapharao.

Mbali na vita, Ramses II anakumbukwa katika juhudi za utunzaji wa historia ya Misri katika mahekalu ya Ramesseum pamoja na Abu Simbel.

Kwa kumbukumbu nyingi muhimu zilizomo katika mahekalu haya kama sanamu, zana za kale, michoro na maandishi zinamfanya Ramsess kuwa mmoja wa mapharao muhimu wa Misri ya kale. Jeshi la Rammeses lilisaidia kulinda mipaka ya Misri kutoka kwa wavamizi na majambazi katika Meditrenian na Libya pia kutoka Hittites na Nubians. Pia alifanya kampeni za kurudisha ardhi iliyokuwa imeporwa na wavamizi kwa kusaini mikataba ya amani kabla ya kutumia nguvu kuwapiga.

Katika historia Ramesses alishindwa vita moja tu. Vita inayokumbukwa sana ni ile iliyofanyika Kadesh (Syria) ambayo ilifanyika mwaka 1274 BC dhidi Wahiti. Ilikuwa ni vita kubwa iliyotumia zana za kisasa zaidi wakati huo katika historia ya vita za kale. Rameses alifanya makosa kwa kugawa vibaya vikosi vyake kitu kilichofanya moja ya kikosi kufyekwa chote! Hatimaye mpinzani akajitangazia ushindi na Ramesses ikampasa arudi nyuma sababu ya kujiandaa kubaya na matatizo ya vifaa.

Dhana iliyozushwa juu ya kifo chake (kwa mujibu wa Prof Maurice), vitabu kadhaa vya dini kama vile Biblia na Quran vimekuwa vikizungumzia kifo chake katika hali ya kushangaza. Wao hudai kuwa Ramesses au Sese alifia kwenye maji wakati akiwafukuza Waisrael.

Wamisri wa kale wakipinga kabisa madai hayo na kudai Sese alifariki akiwa na miaka zaidi ya 87 kutokana na maradhi ya kibinadamu. Moja ya ushahidi ni wa mwili wake ambao unaonekana wazi kuwa mtu huyo alifariki akiwa mzee kabisa kwa mujibu wa utafiti wa wanasayansi wa mambo ya kale ulioongozwa na Prof Maurice.

Pia jambo jingine la kujiuliza ni kuwa kina Musa wakati wakimkimbia Ramesses II na kuwa wameshafanikiwa kuvuka bahari huku nyuma waliwezaje kumuona Ramesses katikati ya kikosi cha askari wa Misri akifa maji? Hayo ni mambo yanayowatatiza wengi huku wengine wakienda mbali zaidi kuwa Ramesses mwili wake huwa hautaki kuzikwa.
Huyu ndio Great Ramesses II au Sese mmoja wa mapharao muhimu zaidi Eghypt ya kale na leo katika historia.View attachment 1170766
Halafu tunasema ma pharaoh walikuwa blacks, how?
 
Kwanini Timu ya Misri wanajiita Mafirauni?
Mbona simple sana. Pharaos ni jina la Mtawala wa kimisir hapo kale. So kila mtawala wa kimisri alikuwa akitumia jina hilo. Hata huyo firauni anayetajwa ktk Quran ana jina lake hicho kilikuwa ni cheo tu. Mfano TZ cheo ni Rais lkn marais wana majina yao. So wamisri kutumia cheo hicho kwa jina la The Pharaos ni kumaanisha wao ni watawala. Sawa na sisi tujiite watemi ama macheif.
 
Binafsi nimeelewa tofauti.......

Hapo aya inasema “....tutakuokoa kwa mwili wako....” hiyo “kwa “ hapo kati inanipa perception ya kwamba aliokolewa kwa kutumia mwili wake hai na sio “tutauokoa mwili wako” (maiti/mfu)

Halafu inaendelea kusema ...”ili ukawe ishara...” nilivyoelewa hapa ni kwamba baada ya kuokolewa kwa mwili wake (hai) akarudi kwa watu ili awe ishara ya uwezo wa Mungu.

.........
Alikuwa akijiita Mungu. Logic ipo simple tu.Allah aliuokoa mwili wake ili watu waje kuuona na kusadikisha kuwa hakuwa Mungu kwani amekufa. Kumbuka kuna watu walikuwa wakimuabudu.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom