Huyu ndiye bwana mdogo Kalulu aliyeasiliwa na Sir Henry Stanley na kuzunguka naye Afrika,Ulaya na Amerika

Alidondoka kwenye maji? Au ilikuwa imepangwa baada ya kujua siri nyingi za wazungu anazidi kukua. Babeberu ni hatari sana
 
Anaongea mkuu? Hawezi elezea kiasi historia yake kwa ujumla.. wenzetu kungekua na nakala nyingi na vitabu mpaka movies au series..
Kalulu sasa hivi ni mzee sana,anaishi kijiji kimoja kinaitwa lumage makete huko
 
Hakuoa? Aaah basi kumbe aliishi bure dunia hii hana alichofanya wala kunufaika
 
Back
Top Bottom