Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,481
- 3,991
name accepted kuanzia Leo Anaitwa Kalulu the HareNa mkuu wa mkoa was dar nae ni Kalulu tu.

Huu mzungu atakuwa na undugu na chaplineHawa wazungu walikuwa na rohoo mbaya kinoma,sura kama ya shetani aliekasirika!View attachment 1367916
Mi naongelea kile kitabu bhanakalulu ni jina la kiswahili mkuu, lilikuwepo kabla ya huyu kalulu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata mie nimesmell hiyo kituI can smell a fish here! Why kijana mdogo kama huyo? Angemsaidia nini? Kuna harufu ya mchezo mchafu!
Chagua muda maalumu wa 'jani', Mkuu. Huoni tunamtafakari ndugu Ndugu muda huu?Na mkuu wa mkoa was dar nae ni Kalulu tu.
Siyo wazungu tu, hata baadhi ya machifu wa kiafrika walikuwa wanalawiti wale watumishi wa kiume, someni habari za Kabaka Mwanga.nilisoma mitandaoni kuna hostoria kwamba wazungu waliwabaka watu weusi wanaume na wanawake
hii historia inafichwa sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Very sad indeed!!!!! ,Kalulu alikuwa ni kijana wa miaka 12 ambaye alinunuliwa kama mtumwa kutoka kwa waarabu huko Zanzibar na mwingereza aitwae Sir Henry Morton Stanley. Mwingereza huyu alikuja kama mpelelezi kwa ajili ya kuipeleleza Afrika na kuiandaa kuja kutawaliwa na wakoloni.
Kijana huyu jina lake halisi alikuwa anaitwa Ndugu Mhali lakini Sir Henry Stanley hakulipenda jina hilo hivyo akambatiza kijana huyo jina akamwita Kalulu.
Hivyo Kalulu alikuwa ni mfanyakazi wa Sir Henry Stanley kati ya miaka ya 1872 mpaka 1873 Kalulu alifanikiwa kuwa mfanyakazi wa karibu wa Sir Henry Stanley walizunguka wote huko mabara ya Amerika na Ulaya.
Sir Henry Stanley alimpeleka shule Kalulu huko Wandsworth, South west London mwalimu wa Kalulu aligundua kuwa Kalulu ni mjanja sana na alikuwa anajifunza vyema lugha ya kiingereza.
Lakini Kalulu hakufanikiwa kusoma kwa muda mrefu shuleni hapo kwasababu ilipo fika mwaka 1874 Dr David Livingstone alifariki akiwa nchini Zambia hivyo Sir Henry Stanley alitakiwa kurudi Afrika kushika nafasi iliyoachwa na Dr Livingstone katika shughuli za upelelezi. Hivyo Sir Henry Stanley alimwachisha shule Kalulu huko london wakarudi Afrika.
Ilipofika mwaka 1877 Kalulu akiwa kama mfanyakazi wa Sir Henry Stanley walisafiri pamoja katika mto Congo kutafuta chanzo cha mto huo lakini kwa bahati mbaya sana mtumbwi aliokuwa amepanda Kalulu ulikumbwa na dhoruba na kupelekea Kalulu kudondoka katika maporomoko ya maji na kufariki dunia na huo ndio ulikuwa mwisho wa kijana Kalulu.
Hivyo maporomoko hayo yalipewa jina la kalulu ili kumuenzi kijana huyu
Nawasilisha
View attachment 1263745View attachment 1263746View attachment 1263747
So alikuwa anampga mkunyeto?!!!!Sir Henry Morton Stanley hakuwahi kuoa, kuwa na mtoto au kuwa na mahusiano na wanawake, na alikuwa homosexual. Uhusiano wa namna hii kati ya basha na kijana mdogo wa kiume unaitwa pederasty kwa Kiingereza. Henry Morton Stanley alikuwa pederast.
Kama ya maccmHistoria nzuri
.Kalulu alikuwa ni kijana wa miaka 12 ambaye alinunuliwa kama mtumwa kutoka kwa waarabu huko Zanzibar na mwingereza aitwae Sir Henry Morton Stanley. Mwingereza huyu alikuja kama mpelelezi kwa ajili ya kuipeleleza Afrika na kuiandaa kuja kutawaliwa na wakoloni.
Kijana huyu jina lake halisi alikuwa anaitwa Ndugu Mhali lakini Sir Henry Stanley hakulipenda jina hilo hivyo akambatiza kijana huyo jina akamwita Kalulu.
Hivyo Kalulu alikuwa ni mfanyakazi wa Sir Henry Stanley kati ya miaka ya 1872 mpaka 1873 Kalulu alifanikiwa kuwa mfanyakazi wa karibu wa Sir Henry Stanley walizunguka wote huko mabara ya Amerika na Ulaya.
Sir Henry Stanley alimpeleka shule Kalulu huko Wandsworth, South west London mwalimu wa Kalulu aligundua kuwa Kalulu ni mjanja sana na alikuwa anajifunza vyema lugha ya kiingereza.
Lakini Kalulu hakufanikiwa kusoma kwa muda mrefu shuleni hapo kwasababu ilipo fika mwaka 1874 Dr David Livingstone alifariki akiwa nchini Zambia hivyo Sir Henry Stanley alitakiwa kurudi Afrika kushika nafasi iliyoachwa na Dr Livingstone katika shughuli za upelelezi. Hivyo Sir Henry Stanley alimwachisha shule Kalulu huko london wakarudi Afrika.
Ilipofika mwaka 1877 Kalulu akiwa kama mfanyakazi wa Sir Henry Stanley walisafiri pamoja katika mto Congo kutafuta chanzo cha mto huo lakini kwa bahati mbaya sana mtumbwi aliokuwa amepanda Kalulu ulikumbwa na dhoruba na kupelekea Kalulu kudondoka katika maporomoko ya maji na kufariki dunia na huo ndio ulikuwa mwisho wa kijana Kalulu.
Hivyo maporomoko hayo yalipewa jina la kalulu ili kumuenzi kijana huyu
Nawasilisha
View attachment 1263745View attachment 1263746View attachment 1263747
Kalulu alikuwa ni kijana wa miaka 12 ambaye alinunuliwa kama mtumwa kutoka kwa waarabu huko Zanzibar na mwingereza aitwae Sir Henry Morton Stanley. Mwingereza huyu alikuja kama mpelelezi kwa ajili ya kuipeleleza Afrika na kuiandaa kuja kutawaliwa na wakoloni.