Huyu ndio Shujaa wetu hayati John Pombe Magufuli - Rais wa Watanzania na kimbilio la wanyonge

Mwambie rais wako afe watafika elfu2😎😎😎😎
Maandamano tuu mlijificha uvunguniπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Rais wangu n mama Samia ..
 
Hiki ki mama D kina unafiki wa chini chini sana, huu uchanganywe na ule uzi mwingine unaohusu kifo cha raisi
 
Wanyonge wamefaidika vipi na utawala wa Magufuli.?
Tueleze kwa kina
watoto wetu wanasoma shule bure,wake wetu hawajifungulie kwenye sakafu kama zamani,rushwa za kijingajinga zilipungua sana, mengi sana katufanyia sisi wanyonge
 
Ukishatoka kwa mpalange akili zako huhamia huko huko.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Wewe mwanaume uliyeamua kuwa choga ndio unapeleka wenzio kwa mpalange wako. Umeharibika sana ujueπŸ€”πŸ€”

Mie mwanamke kamili niliyejaliwa uanamke huko sina la kufuata😐😐😐

Nianze hizo shughuli za huko zinahusuπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„ huo ufirauni endelea nao tuu ila ukiharibikiwa utanikuta dr wa zamu
 
Rais wa ccm na kimbilio la mataga.
 
Hivi wanyonge ni watu wa aina gani na je ni sifa kuwa mnyonge? kwa mimi mnyonge ni mtu dhaifu, dhalili,hajiwez kabisa maskini elimu duni anakula kwa kubangaiza, na ukimpa chakula kidogo atakusifu bila kujali kwamba labda matatizo aliyonayo we ndo sababu na wala huna nia ya dhati ya kumtoa kwenye hali hiyo ili uendelee kummiliki na kumtumia.
Hatuna mpango wa kuboresha elimu kwa sababu wanyonge wataamka, hatuna mpango wa kuboresha mazungira mazur ya kilimo ambacho kitaleta tija mpaka kwenye viwanda kwa kuwa wanyonge tutawakosa! Mnyonge asipotandaza bidhaa zake chini akauza maana yake usku wake atalala njaa.Tusikubali unyonge kuwa sifa tuboreshe elimu yetu,kilimo na mazingira bora ya biashara ili tusiwe taifa la wanyonge,kwani unyonge siyo sifa nzuri.
 

Hukuwaona walioomboleza kumpoteza rais wao. Panda juu kwenye post ukutane na baadhi ya picha na video za hao Watanzania zaidi ya 85%

Rais John Pombe Joseph Magufuli ataendelea kukumbukwa kama rais wa watanzani na mtetezi wa wanyonge; rais mwenye maono chapakazi na mtekelezaji. Rais wa karne😎

Bado una shida??
 
watoto wetu wanasoma shule bure,wake wetu hawajifungulie kwenye sakafu kama zamani,rushwa za kijingajinga zilipungua sana, mengi sana katufanyia sisi wanyonge

Kwani zamani watoto walilipa kiasi gani?
Unajua cost ya hii propaganda ya magufuli kuhusu elimu?
Dar peke yake watoto zaidi ya laki 5 wanakosa nafasi za kusoma kwa sababu hakuna shule mpya alozojenga na watoto wanaongezeka.
Ni kiini macho tu hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…