Huyu ndio Shujaa wetu hayati John Pombe Magufuli - Rais wa Watanzania na kimbilio la wanyonge

Mwambie rais wako afe watafika elfu2๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Maandamano tuu mlijificha uvunguni๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
Rais wangu n mama Samia ..
 
Hiki ki mama D kina unafiki wa chini chini sana, huu uchanganywe na ule uzi mwingine unaohusu kifo cha raisi
 
Wanyonge wamefaidika vipi na utawala wa Magufuli.?
Tueleze kwa kina
watoto wetu wanasoma shule bure,wake wetu hawajifungulie kwenye sakafu kama zamani,rushwa za kijingajinga zilipungua sana, mengi sana katufanyia sisi wanyonge
 
Ukishatoka kwa mpalange akili zako huhamia huko huko.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Wewe mwanaume uliyeamua kuwa choga ndio unapeleka wenzio kwa mpalange wako. Umeharibika sana ujue๐Ÿค”๐Ÿค”

Mie mwanamke kamili niliyejaliwa uanamke huko sina la kufuata๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Nianze hizo shughuli za huko zinahusu๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„ huo ufirauni endelea nao tuu ila ukiharibikiwa utanikuta dr wa zamu
 
Rais wa ccm na kimbilio la mataga.
Mods Moderator naomba msiunganishe huu uzi๐Ÿ™

Tumshukuru sana Mungu kwa zawadi ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli kwa nchi yetu. Ametutoa pagumu sana, ametuthubitishia yaliyoambiwa hayawezekani yanawezekana kwa vitendo

Ametuachia viongozi makini aliowapika kuwa wazalendo kama yeye mwenyewe na ameacha wananchi wengi walio maskini wakiwa na cha kujivunia kwa nchi yao

Ameiheshimisha Tanzania duniani kote kwa kuondoa uhuru wa bendera na kurudisha misingi ya uhuru halisi

Ametuachia serikali makini chini ya aliyekua msaidizi wake makini Rais Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote

Ametuachia jamhuri ya muungano wa Tanzania iliyo imara, bunge imara, mahakama imara na jeshi imara.

Hotuba ya Samia siku ya kuapishwa waziri mkuu, waziri wa fedha na waziri wa mambo ya nje. Hii ni baada ya Samia kuteiliwa na Magufuli kuwa makamu wa rais kwa mara ya pili. Samia alimhakikishia Rais amenyooka na kumshukuru sana. Aliahidi kufanya kazi na rais apumzike akifanya mambo makubwa

Hotuba ya rais Magufuli siku ya kuapishwa waziri mkuu, waziri wa fedha na waziri wa mambo ya nje.

๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Pole tanzania yangu

Tumuombe Rais wetu Samia Suluhu Hassan aendeleze yale waliyoyaanza pamoja, na Mungu aendelee kumjaza hekma, ampe afya ya mwili, roho na akili katika kulitumikia taifa hili

Rest well our hero President John Pombe Magufuli ๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™

Pumzika kwa/baada kazi ngumu JEMBE..
FB_IMG_1616771163759.jpeg
 
Hivi wanyonge ni watu wa aina gani na je ni sifa kuwa mnyonge? kwa mimi mnyonge ni mtu dhaifu, dhalili,hajiwez kabisa maskini elimu duni anakula kwa kubangaiza, na ukimpa chakula kidogo atakusifu bila kujali kwamba labda matatizo aliyonayo we ndo sababu na wala huna nia ya dhati ya kumtoa kwenye hali hiyo ili uendelee kummiliki na kumtumia.
Hatuna mpango wa kuboresha elimu kwa sababu wanyonge wataamka, hatuna mpango wa kuboresha mazungira mazur ya kilimo ambacho kitaleta tija mpaka kwenye viwanda kwa kuwa wanyonge tutawakosa! Mnyonge asipotandaza bidhaa zake chini akauza maana yake usku wake atalala njaa.Tusikubali unyonge kuwa sifa tuboreshe elimu yetu,kilimo na mazingira bora ya biashara ili tusiwe taifa la wanyonge,kwani unyonge siyo sifa nzuri.
 
Hukuwaona walioomboleza kumpoteza rais wao. Panda juu kwenye post ukutane na baadhi ya picha na video za hao Watanzania zaidi ya 85%

Rais John Pombe Joseph Magufuli ataendelea kukumbukwa kama rais wa watanzani na mtetezi wa wanyonge; rais mwenye maono chapakazi na mtekelezaji. Rais wa karne๐Ÿ˜Ž

Bado una shida??
 
watoto wetu wanasoma shule bure,wake wetu hawajifungulie kwenye sakafu kama zamani,rushwa za kijingajinga zilipungua sana, mengi sana katufanyia sisi wanyonge

Kwani zamani watoto walilipa kiasi gani?
Unajua cost ya hii propaganda ya magufuli kuhusu elimu?
Dar peke yake watoto zaidi ya laki 5 wanakosa nafasi za kusoma kwa sababu hakuna shule mpya alozojenga na watoto wanaongezeka.
Ni kiini macho tu hamna kitu
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom