Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,670
- 11,770
Yaani kukutumia picha yangu ndo umeamua kuitandaza humu!
Kumbe wewe ndio Nancy?
Yaani kukutumia picha yangu ndo umeamua kuitandaza humu!
Kwa hiyo wabaya wa sura hawaolewi eeh!, kila mtu anatambulisha warembo tu, itabidi nifanye ku volunteer nioe surambaya moja nao wafarijike
kwa sababu ndiye anayeniliwaza mie....
Yaani kukutumia picha yangu ndo umeamua kuitandaza humu!
Mbona kama unafanyaga mambo ya congoman, ya mkorogo lolhahaha mi mwenyewe si unaniona hapo...mtoto kazimikia color