Huyu ndio Shemeji na Wifi yenu

Huyu ndio Shemeji na Wifi yenu

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,343
Reaction score
111,608
522177_129458463870207_385711448_n.jpg
 
Kwa hiyo wabaya wa sura hawaolewi eeh!, kila mtu anatambulisha warembo tu, itabidi nifanye ku volunteer nioe surambaya moja nao wafarijike
 
Yaani kukutumia picha yangu ndo umeamua kuitandaza humu!
 
Laziamm niripoti kwa Invisible haiwezekani picha ya Housegirl wangu uiweke mtandaoni
 
Kwa hiyo wabaya wa sura hawaolewi eeh!, kila mtu anatambulisha warembo tu, itabidi nifanye ku volunteer nioe surambaya moja nao wafarijike

Huyu anatafuta mwenzi wa maisha nadhani atakufaa

UglyGirl.jpg
 
Laziamm niripoti kwa Invisible haiwezekani picha ya Housegirl wangu uiweke mtandaoni

Ndio ujue kuwa kila ulipokuwa unaenda kzn mwenzio anahamia kwako!Yale maji yakwanza yamchemsho wanyama anapewa yeye ukirudi unakula makapi!
 
Una utani na Preta !!!? zikianza ngumi mie siamulii, niko kwenye dozi

hahaha ndio maana jana alikua anatiririka makichina kwa kwenda mbele....sikua najua Preta ni mchina!!!!
 
I hope you mean it...huyo kama huna kifua cha simba sahau...
 
Back
Top Bottom