Huyu ndio Rais wa Tanzania baada ya Rais Samia

Huyu ndio Rais wa Tanzania baada ya Rais Samia

Mmoja kati ya hawa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Rais Samia

Wote wana haiba ya Urais wanajua kujieleza kwa mvuto ni wachapakazi wakweli na waaminifu wanaandaliwa na state na wanaandalika na wanakubalika na watu wa vyama vyote sio wengine ni Juma Aweso na Abdallah Ulega.

Hizi akili wakati flani huwa unajiuliza ni akili kweli!
 
Mmoja kati ya hawa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Rais Samia

Wote wana haiba ya Urais wanajua kujieleza kwa mvuto ni wachapakazi wakweli na waaminifu wanaandaliwa na state na wanaandalika na wanakubalika na watu wa vyama vyote sio wengine ni Juma Aweso na Abdallah Ulega.

Hao ni kelele nyingi na kujionesha vyombo vya habari

Kuna watu hawafikiriwi kabisa ila wataibuka mwishoni hawana kelele nyingi,wako humbled!..
Wanapiga kazi!..

Haya mambo Mungu ndio huamua sio watu

Mtashangaa!..
 
Zanzibar haijatoa rais kwa miaka 25,zamu yao

Hii anticipation yako wanaweza kuitumia ili kupunguza mgawanyiko wa makundi yaliyoko ndani ya CCM ili waonekane kukubaliana na wale wanaopinga mama asiendelee sawa sawa na ule mlolongo uliomwingiza Magufuli kuwa Rais kwa kukwepa vivuli vya Membe na wenzake
 
Ipo siku ccm itajichanganya na kutuletea rais kutoka kwa wasukuma ipo siku kiti kitarudu kwa wasukuma nitakuwa mzee kipind hcho natazama vioja tena
 
Mmoja kati ya hawa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Rais Samia

Wote wana haiba ya Urais wanajua kujieleza kwa mvuto ni wachapakazi wakweli na waaminifu wanaandaliwa na state na wanaandalika na wanakubalika na watu wa vyama vyote sio wengine ni Juma Aweso na Abdallah Ulega.

fafanuwa kwa undani tukuelewe vema.
 
Julius -hasan-benja-mrisho-jose-anaefuata anaandaliwa na state ni muislam huyu wa sas hajaajandiliwa ni baahat mbaya na kuna hat hat aendelee au akaushe
Ile awamu ya vatican haikuisha, so lazima waimalize wavatican endapo tausi hataendelea.
 
Mkapa,jakaya,Julius,magufuli miaka 51,zenji mwinyi 10,mama 9,yaani 19 tu,51-19=32...bara mmetawala miaka 32 zaidi ikiwa mama atapiga awamu mbili,so awekwe mwinyi walau ibaki miaka 22
Umewaqhi kusoma hesabu za ratio? Hapo kiuwiano wa populagtion bara wamepigwa
 
Unata
Mkapa,jakaya,Julius,magufuli miaka 51,zenji mwinyi 10,mama 9,yaani 19 tu,51-19=32...bara mmetawala miaka 32 zaidi ikiwa mama atapiga awamu mbili,so awekwe mwinyi walau ibaki miaka 22
Unataka eneo kuubwa likaribiane kiutawala na kaeneo kadogo kama mkoa wa tabora.
 
Hii anticipation yako wanaweza kuitumia ili kupunguza mgawanyiko wa makundi yaliyoko ndani ya CCM ili waonekane kukubaliana na wale wanaopinga mama asiendelee sawa sawa na ule mlolongo uliomwingiza Magufuli kuwa Rais kwa kukwepa vivuli vya Membe na wenzake
Magufuli hawakulenga kumkweoa member,Bali uchaguzi ulikua mgumu,akatafutwa mtu anayekubalika Kanda ya ziwa,Kanda amuzi wa matokeo ya uchaguzi
 
Suala siyo eneo Bali sovereignity...bila Zanzibar hakuna tanzania
Uhuru walionao wa kuwa na rais unatosha kabisa. Wawe na rais tanzania bado na zanzibar, hatutaki hiyo michongo hadi katiba ikisema bara rais wake na zanzibar rais wake km walivyo sasa hapo ndo tutagawana vzr kwa rais wa tanzania. Lkn kwa sasa watusamehe kidogo tutaendelea kushika hatamu kadri itakavyotupendeza.
 
Pesa za kukodi software billions zilitoka wap? Pesa ya kuagiza crane sayar ya mars Kwa billions ilitoka wap, pesa ya kulipia waizi wa symbion Kwa billion itatoka wap,? KATIBA mpya itapatikana 2026. Na haijalishi Watawala watapenda au wasipende, haijalishi chama tawala kinapenda au hakipendi kitaimba wimbo huo.
Amka usilale mkuu.
KATIBA!!! unaota.
 
Back
Top Bottom