peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,051
- 31,169
😂Wamekutuma uje uandike ujinga hapa?
😂Wamekutuma uje uandike ujinga hapa?
Imelala CCM tena fofofoooo, na haitoamka ktk USINGIZI huo Hadi uwe Ule USINGIZI wa mauti. Nyerere alikijenga chama hicho juu ya msingi wa HAKI, UKWELI, USAWA na UPENDO. Amani ikatawala. Leo Mnaramba asali, tunaambiwa tuhamie Burundi, wengine wanasema tunawaonea wivu kuwa mawaziri!!!!! Nitapiga kelele mlimani, nitapiga kelele hata katika vilindi vya bahari Hadi HAKI itakaposomama ktk Nchi.Amka usilale mkuu.
KATIBA!!! unaota.
Zanzibar ya sayari ipi? Kwa hiyo SSH anatoka wapiZanzibar haijatoa rais kwa miaka 25,zamu yao
Waacheni kwanza, Watu wako busy na UP japokuwa anguko lake litakuwa zaidi ya Ile CCJ na CCK😂😂😂Mmoja kati ya hawa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Rais Samia
Wote wana haiba ya Urais wanajua kujieleza kwa mvuto ni wachapakazi wakweli na waaminifu wanaandaliwa na state na wanaandalika na wanakubalika na watu wa vyama vyote sio wengine ni Juma Aweso na Abdallah Ulega.
Watanganyika wametawala miaka 51 mpaka sasa,zenji huu ndiyo mwaka wa 11,tofauti miaka 40,na wao wafikishe miaka 51 halafu ndiyo tuje wabaraZanzibar ya sayari ipi? Kwa hiyo SSH anatoka wapi
Mngelijua waislamu ndiyo wanatufaa kutuongoza mcngethubutu pinga pinga zenu.Huo utaratibu haupo labda kama mama anaishia hii miaka yake minne!
Watanganyika wametawala miaka 51 mpaka sasa,zenji huu ndiyo mwaka wa 11,tofauti miaka 40,na wao wafikishe miaka 51 halafu ndiyo tuje wabara
Hakuna kitu kama hicho! Katiba inamruhusu kugombea mara moja tu kwa hiyo miaka minne inahesabiwa kama awamu nzima!Mngelijua waislamu ndiyo wanatufaa kutuongoza mcngethubutu pinga pinga zenu.
Pombe miaka Mngelijua waislamu ndiyo wanarufaa mcngethubutu
Saamia swaaleh hassan Muislamu,, miaka 4 ya magufuli, na ya kwake 10 years ahead=15years
Kwahiyo ataliongoza taifa hadi 2035
Zanzibar ni wilaya tu kama wilaya ya Temeke.Mkapa,jakaya,Julius,magufuli miaka 51,zenji mwinyi 10,mama 9,yaani 19 tu,51-19=32...bara mmetawala miaka 32 zaidi ikiwa mama atapiga awamu mbili,so awekwe mwinyi walau ibaki miaka 22
Ni trend, yaani BAKWATA na VATICAN. Si vinginevyo.Naomba kujulishwa, ni kwa nini akitoka Macca anayefuata lazima atoke Vatican?
Mmoja kati ya hawa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Rais Samia
Wote wana haiba ya Urais wanajua kujieleza kwa mvuto ni wachapakazi wakweli na waaminifu wanaandaliwa na state na wanaandalika na wanakubalika na watu wa vyama vyote sio wengine ni Juma Aweso na Abdallah Ulega.
Julius -hasan-benja-mrisho-jose-anaefuata anaandaliwa na state ni muislam huyu wa sas hajaajandiliwa ni baahat mbaya na kuna hat hat aendelee au akaushe
Hakuna kitu kama hicho! Katiba inamruhusu kugombea mara moja tu kwa hiyo miaka minne inahesabiwa kama awamu nzima!
Dogo sumu hailambwi naona unatest maji ya moto kwa kidole cha kati kama yanaogeka au uzidi kuyachanganya ili kubalance jotoridi. Usifikiri watu ni mabwege ila wametulia tu kupisha heshima na utaratibu. Eid njema
Zanzibar ni wilaya tu kama wilaya ya Temeke.
Na ni kweli 2026 katiba mpya lazima.Pesa za kukodi software billions zilitoka wap? Pesa ya kuagiza crane sayar ya mars Kwa billions ilitoka wap, pesa ya kulipia waizi wa symbion Kwa billion itatoka wap,? KATIBA mpya itapatikana 2026. Na haijalishi Watawala watapenda au wasipende, haijalishi chama tawala kinapenda au hakipendi kitaimba wimbo huo.
Ataiva lini sasa? Akifika 70? Namkumbuka kwenye kibaa flan pale mwananyamala. Wakati huo anaungaunga openSimbachawene hajaiva
Kunbuke pia atatokea baraJulius -hasan-benja-mrisho-jose-anaefuata anaandaliwa na state ni muislam huyu wa sas hajaajandiliwa ni baahat mbaya na kuna hat hat aendelee au akaushe