Huyu ndio Rais wa Tanzania baada ya Rais Samia

Huyu ndio Rais wa Tanzania baada ya Rais Samia

Pesa za kukodi software billions zilitoka wap? Pesa ya kuagiza crane sayar ya mars Kwa billions ilitoka wap, pesa ya kulipia waizi wa symbion Kwa billion itatoka wap,? KATIBA mpya itapatikana 2026. Na haijalishi Watawala watapenda au wasipende, haijalishi chama tawala kinapenda au hakipendi kitaimba wimbo huo.
Hawajaamua kuleta Katiba mpya kabla ya 2025
 
Huyu aliyepo hajafanya chochote bado, mmeshanza kupigana vikumbo juu ya ajae. Kweli nchi hii chini ya hawa watu mabadiliko ya maendeleo ya kweli labda yatakuja miaka 60 ijayo.
 
Mtajuana wenyewe hata mkitaka kumuweka msukuma muwekeni tushachoka sisi na drama zenu.
Watu 4 mpaka sasa naona wanafaa hicho kiti
1. Kassimu Majaliwa
2. Mwinyi
3.Dotto Biteko( Waziri wa Madini)
4. Tundu Lissu
 
Pesa za kukodi software billions zilitoka wap? Pesa ya kuagiza crane sayar ya mars Kwa billions ilitoka wap, pesa ya kulipia waizi wa symbion Kwa billion itatoka wap,? KATIBA mpya itapatikana 2026. Na haijalishi Watawala watapenda au wasipende, haijalishi chama tawala kinapenda au hakipendi kitaimba wimbo huo.
2026 ndio kunanini kwann isiwe sasa?
 
Mmoja kati ya hawa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Rais Samia

Wote wana haiba ya Urais wanajua kujieleza kwa mvuto ni wachapakazi wakweli na waaminifu wanaandaliwa na state na wanaandalika na wanakubalika na watu wa vyama vyote sio wengine ni Juma Aweso na Abdallah Ulega.

Ndio kina nani Hawa!!
Hatuendi hivyo maalim,baada ya uzal Ismail unafuata uzao wa Ibrahim,huo ndio utaratibu,sasa hv yupo Binti kutoka ukoo wa Ismail,inabidi afate mtoto wa Ibrahim.sasa Hawa uliowataja ni kutoka kabila la Ismail.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
kama mnaendelea na CCM bora kukodi mzungu kuliko kuendelea na huo ujinga
Fafanua mkuu au unamaanisha sisi tumeshindwa kujiongoza?

check na ushauri wa mdau kwa Elon
20220503_065809.jpg
 
Akitoka mama anaingia mwinyi
Aisee mmejipanga poa Suluhu mzazi mwenzie Jakaya na dadake Hussein. Afuataye see Kaka Mtu! Itabidi uchawi WA mwenge uzunguke mara mbili Kwa mwezi. Lii nchi la familia 20 years
 
Rais abdala ulega duh hata hainogi kbsa

Rais jumaa aweso jmn mmekosa marais nn

Rais dr mwigulu nchemba duh

Rais awe rais wa Zanzibar Dr hussen mwinyi huyu mtu anatufah San San Bora yey au Georg simbacahwaeene
Ha ha ha
 
Ulega anaongea Kama anarap au mlevi fulani


Mlianza na bwana jafo Sasa mmebadili gia Tena aweso tapel wa mapenz amedhulumu mke wa mtu

Nan alijua John atakuwa Rais miaka 20 iliyopita?
 
Back
Top Bottom