Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,677
- 55,957
Tulia ccm wakufurahishe na machaguo yaoMmoja kati ya hawa ni rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania baada ya rais samia wote wana haiba ya urais wanajua kujieleza kwa mvuto ni wachapakaz wakweli na waaminifu wanaandaliwa na state na wanaandalika na wanakubalika na watu wa vyama vyote sio wengine ni Juma aweso na muheshimiwa abdala ulegaView attachment 2208622View attachment 2208623