Huyu ndio Rais wa Tanzania baada ya Rais Samia

Huyu ndio Rais wa Tanzania baada ya Rais Samia

Mmoja kati ya hawa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Rais Samia

Wote wana haiba ya Urais wanajua kujieleza kwa mvuto ni wachapakazi wakweli na waaminifu wanaandaliwa na state na wanaandalika na wanakubalika na watu wa vyama vyote sio wengine ni Juma Aweso na Abdallah Ulega.

Hivi hujui ni zamu ya Rais mkristo

USSR
 
Kama hakuandaliwa ni uzembe wa TISS maana katiba Iko wazi kabisa kuwa VP anakaimu mamlaka pindi Rais yupo unfit au amekufa. Sasa kama hawakujua JPM ana betri moyoni na Hana muda mrefu afu wakampa VP ambaye unadai ni "mbovu" basi ni udhaifu mkubwa sana huo.

Kama Rais tunashindwa andaa then hata bajeti au Mpango wa kufuta umaskini ndio tutaweza kweli?
Hivi kuanzia lini TISSUE hao wakaweza kupanga Rais, hivi nyinyi hamjui kama walishindwa kumpanga Rais baada ya kufa Magufuli japo walitamani asiwe aliopo sasa, chombo chenye nguvu kiliongea kumwambia mama "tutakulinda" sijui mlimuelewa bwana yule !?
 
Rais abdala ulega duh hata hainogi kbsa

Rais jumaa aweso jmn mmekosa marais nn

Rais dr mwigulu nchemba duh

Rais awe rais wa Zanzibar Dr hussen mwinyi huyu mtu anatufah San San Bora yey au Georg simbacahwaeene
Mi naona tupige campaign hii watusikie wakituletea mapoyoyo tukayapiga chini ili tusilaumiane .
 
Kawoli who is TAUSI
You mean Tausi Mdegella? Or
 
Haitoshi,sisi Tanganyika tumetawala miaka 51,wao ndiyo kwanza 11!!
Naona mnapima upepo, KATIBA MPYA itakuja kabla ya uchaguzi. Wananchi watachagua kiongozi wao baada ya Katiba kupatikana 2026. Hapa kat itakuwa ni mbio za vijiti tu.
 
Mmoja kati ya hawa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Rais Samia

Wote wana haiba ya Urais wanajua kujieleza kwa mvuto ni wachapakazi wakweli na waaminifu wanaandaliwa na state na wanaandalika na wanakubalika na watu wa vyama vyote sio wengine ni Juma Aweso na Abdallah Ulega.

Mijitu mipuuuzi haioneshi dalili za kupungua kwenye Nchi hii
 
Mmoja kati ya hawa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Rais Samia

Wote wana haiba ya Urais wanajua kujieleza kwa mvuto ni wachapakazi wakweli na waaminifu wanaandaliwa na state na wanaandalika na wanakubalika na watu wa vyama vyote sio wengine ni Juma Aweso na Abdallah Ulega.

Kiswahili kimekukosea nini ndugu hadi uandike, HUYU NDIO badala ya HUYU NDIYE...?!
 
Hujui secret codes za nchi wewe, unadhani mbadirishano wa marais wa dini tofauti tofauti ni wa bahati mbaya ee!
 
Naona mnapima upepo, KATIBA MPYA itakuja kabla ya uchaguzi. Wananchi watachagua kiongozi wao baada ya Katiba kupatikana 2026. Hapa kat itakuwa ni mbio za vijiti tu.
Hela ya kuleta Katiba mpya unatoa wewe!?..na uratibu ni juu yako!!?..endelea kuota katiba
 
Hela ya kuleta Katiba mpya unatoa wewe!?..na uratibu ni juu yako!!?..endelea kuota katiba
Pesa za kukodi software billions zilitoka wap? Pesa ya kuagiza crane sayar ya mars Kwa billions ilitoka wap, pesa ya kulipia waizi wa symbion Kwa billion itatoka wap,? KATIBA mpya itapatikana 2026. Na haijalishi Watawala watapenda au wasipende, haijalishi chama tawala kinapenda au hakipendi kitaimba wimbo huo.
 
Back
Top Bottom