Machozi ya uraisi Hayo!!!?Huyo Ulega useless kabisa,Kati ya wabunge wa michongo ndio hyo,kipindi cha uchaguzi jamaa alimbana Kwa maswali akamuambia mbona unatupa ahadi za uongo.akaanza kujiliza yaani machozi kabisa
Ulega maana yale nini!!?Yani tuwe na rais anaitwa human au ulega hauko serious bro
Halafu utakuta wengi wao hapo ni vijana!!Naamini ni ujinga kufikiria nani atakuwa rais baada ya Samia.
Watu tujifunze kutafuta pesa.
Wavaa vibandiko wanajisahaulisha sana; Mara Januari Makamba mara Hussein MwinyiMwache abwabawaje! Kumbe hatujui! Yaani tuongozwe na Macca miaka 20 mfululizo? Waambie wajipange wakiwa wazee siyo sasa hivi! Labda 2040! Sijui watakuwa na umri gani hapo!
Baada ya Muislamu Samia afuate Raisi MkristoRais abdala ulega duh hata hainogi kbsa
Rais jumaa aweso jmn mmekosa marais nn
Rais dr mwigulu nchemba duh
Rais awe rais wa Zanzibar Dr hussen mwinyi huyu mtu anatufah San San Bora yey au Georg simbacahwaeene
Kaka kwanza hamna state ambayo huwa inaandaa MTU,achana na nadharia za watu wa vijiweni.Viongozi wengi ni kutokana na upepo wa kisiasa na kwa Tanzania Rais aliyopo Madarakani na syndicate yake ndogo wanaamua nani awe mrithi wake-kwa kuangalia mazingira ya kisiasa ya kipondi hicho.Julius -hasan-benja-mrisho-jose-anaefuata anaandaliwa na state ni muislam huyu wa sas hajaajandiliwa ni baahat mbaya na kuna hat hat aendelee au akaushe
Ndio SAMIA katoka.Zanzibar haijatoa rais kwa miaka 25,zamu yao
Mwinyi wa kazi gani kwani sasahivi ni kiranja huko aliko au zanzibar ni pakufanyia majaribio ya mtu kuwa raisi TanganyikaKwakweli hata mimi naomba usiku na mchana Rais awe Dr. Hussein Mwinyi. Lakini hayo mambo huwa anapanga Mungu.....
KWA Tz Raisi aliepo madarakani hana ujanja wa kuamua nani awe!!the state does!!Kaka kwanza hamna state ambayo huwa inaandaa MTU,achana na nadharia za watu wa vijiweni.Viongozi wengi ni kutokana na upepo wa kisiasa na kwa Tanzania Rais aliyopo Madarakani na syndicate yake ndogo wanaamua nani awe mrithi wake-kwa kuangalia mazingira ya kisiasa ya kipondi hicho.
Kama SAMIA atamaliza 10 years,haitawezekana Rais awe Muslim tena-na kama itatokea kutakuwa hiyo Serikali haitatawalika kuanzia huko jikoni.
Inasemekana Magufuli alimwandaa Awesso aje amrith but for now upepo umisha change.
Narudia tena! Ni ngumu sana hii nchi kuendelea!! Ili tupige hatua lazima tugawane nchi..zitokee nchi mbili..moja waislamu wajitawale wao na nyingine wakiristu wajitawale..la sivyoo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu!!Mmoja kati ya hawa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Rais Samia
Wote wana haiba ya Urais wanajua kujieleza kwa mvuto ni wachapakazi wakweli na waaminifu wanaandaliwa na state na wanaandalika na wanakubalika na watu wa vyama vyote sio wengine ni Juma Aweso na Abdallah Ulega.
Kama hakuandaliwa ni uzembe wa TISS maana katiba Iko wazi kabisa kuwa VP anakaimu mamlaka pindi Rais yupo unfit au amekufa. Sasa kama hawakujua JPM ana betri moyoni na Hana muda mrefu afu wakampa VP ambaye unadai ni "mbovu" basi ni udhaifu mkubwa sana huo.Julius -hasan-benja-mrisho-jose-anaefuata anaandaliwa na state ni muislam huyu wa sas hajaajandiliwa ni baahat mbaya na kuna hat hat aendelee au akaushe
Haitoshi,sisi Tanganyika tumetawala miaka 51,wao ndiyo kwanza 11!!Ndio SAMIA katoka.
Unaota au......Mmoja kati ya hawa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Rais Samia
Wote wana haiba ya Urais wanajua kujieleza kwa mvuto ni wachapakazi wakweli na waaminifu wanaandaliwa na state na wanaandalika na wanakubalika na watu wa vyama vyote sio wengine ni Juma Aweso na Abdallah Ulega.