Anasema bikra

why all this hypocricy? i mean why?
Haa haa haaaa!!! Mapenzi, mapenzi, mapenzi, mapenzi !! Watu wameamka vitandani lakini wanaingia maofisini wakiwaza hayo tu. Hawa ndio Great Thinkers! Kwani hata haya yanahitaji kubandika humu kila siku? Msiniquote vibaya, nimesema kila siku? Sina ugomvi na wapambe wa hayo, ila mitandao ina mengi ya kufundishana!!
 
Kwa nn usimwokoe jamaa ako?
Yaani umechezea gemu weee jamaa anafika bei nina uhakika mtakuja kukumbushia ni bora ukamshauri jamaa ako aachane nae huyo mwanamke sio mwaminifu kabisa.
 
Mimi nafikiri hapo ni kukaa kimya tu. Lakini kama unajua la zaidi ambalo huenda likamletea matatizo huyo rafiki yako na hiyo familia anayotaka kuianza, tafuta namna ya kuliweka hilo tatizo kwa huyo rafiki yako bila kugusia mahusiano yenu ya huko nyuma. Wengine wamewahi kuwa na mahusiano enzi za shule, wakaachana na kuja kushtuka kaka/dada kaoa/kaolewa kwenye nyumba husika na bado heshima ikatunzwa!
 
Mkubwa kwani wewe kwenye hili unahusika vipi?

Ninamaanisha kuwa dawa ya mtu anayetaka bikra wakati yeye mwenyewe si bikra ni kupewa made in China back streets.

Halafu kwani unataka bikra ili iweje? Ndo hawa wanaobaka watoto wadogo kusaka kijishimo cha tundu la sindano, kwani karungu kako ni vipi? au saizi ya tooth pick nini? Ukishapiga ukakuta chubwi chubwi utaomba back door si ndo hivyo. Kweli uhayawani umeongezeka sana duniani.

Na ubikira hauna uhusiano kabisa na tabia njema shauri yako. Siku hizi zama za Mchina hata Kibibi gula anaweza kutengeneza tu.

Unataka bikira ya nini? Hujui hata uarabuni na uhindini wanakuta bikira ipo lakini kumbe ni ya upande mmoja na wanapigwa changa la macho bila kujua? YETU MACHO!

swadaktaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
 
Jana rafiki yangu, niliyesoma naye kijijini, amekuja na mchumba wake kunitembelea.

Kabla hajafika alinipigia kuniambia kuwa mchumba ni bikra, anasubiri mpaka "wedding night" na nikampa hongera zake.

Wamefika jana jioni,nimewafuata ubungo na nikabaki mdomo wazi. mchumba ni demu niliyekuwa namega long time nikiwa shule na mimi mwenyewe nilikuta hamna bikra enzi zile.

Demu amejifanya hanijui na tulipofika home, wameomba kulala vyumba tofauti.

My friend yuko excited anataka kumtambulisha kwao aanze process. Nimewaacha home leo nikiwa na wasiwasi. Nimwambie au niuchune?

Mwache auingie mkenge atajiju
 
pilipili ya kijijini (shamba) inakuwashia nini? mind your own business.
 
umeshangaa nini sasa wakati bikra za kutengeneza zipo kibao siku hizi..mwache tu jamaa azindue akutane na bikra ya kichina..
 
Mshikaji kaondoka leo... nimeuchuna na nilipowafikisha ubungo, my shem to be akaniambia ahsante with a knowing smile... najisikia vibaya... yaani najiona betrayer ile mbaya... he is my friend but its none of my biz kama bikra ya kichina au ya india....
 
Back
Top Bottom