johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
Mimi sijaiona aiseeImenifurahisha picha ya rais ukutani
Mchoraji au mchorwaji?Jamaa ametisha.
Hahahhaha kama anamsikiliza vileImenifurahisha picha ya rais ukutani
Mkuuu sina mil 7.Mchoraji au mchorwaji?
Kwani kule hawapokei kwa installments?Halafu toka nimekuwa mtu mzima sijawahi kumiliki MILIONI SABA (7,000,000)
kwa installments tutawapa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuuu sina mil 7.
Hahaha!!! Hawamkoseagi kabisa aiseeImenifurahisha picha ya rais ukutani
[/URL]Halafu toka nimekuwa mtu mzima sijawahi kumiliki MILIONI SABA (7,000,000)