Huyu mzee vipi???!!

Huyu mzee vipi???!!

Ndiyo maana siku hizi siruhusu mazoea ya ajabu ajabu kwa wanangu hata kama ni ndugu yangu.Watu wamekuwa na ajabu sana.

Uko sahihi kabisa, dunia imeharibika hata ndugu yako wa tumbo moja usimwamini asilia zote
 
Wazee wengine bhana wanajivunjia heshima wenyewe, nlikua namuheshimu sana lakn sasa hata nkimuona naskia kichefu chefu, aliyesema "All men ar dogs" hakukosea kabisa, huyu mzee mkubwa kuliko hata baba yangu ukizingatia ni mume wa shangazi yangu, naona anataka kunizoea vibaya, juzi nliamka daku peke yangu wengine walikua hawataki kula, sasa tukawa mimi na yeye dining table mara atake kunilisha mara anichum yani I was shocked hadi nkashindwa la kuongea sinc wen mimi na zee kama huyu tukaecti "kuchkuch"................wazee wengine majangaaaaa

eti mwezi mtukufu...
 
Yaani umeona jamii forum ndiyo sehemu yakuripoti matendo uliyofanyiwa na huyo mzee? Kwani umeshindwa kumwambia shangazi yako? Hata wewe inawezekana ulikuwa unamtega.
 
Ni kweli kabisa ulikuwa ujajisitiri na umekuwa na ukarobu nae pasi na shaka, jitunze na jiheshimu

AsEe kama umeamua kunishutumu sawa, ila kujistiri ndo mila na desturi yetu, yan haijawahi kutokea nimemvalia nusu uchi huyo mzee
 
Yaani umeona jamii forum ndiyo sehemu yakuripoti matendo uliyofanyiwa na huyo mzee? Kwani umeshindwa kumwambia shangazi yako? Hata wewe inawezekana ulikuwa unamtega.

Hebu nipe guidance ya kazi ya Jforum
 
Yaani umeona jamii forum ndiyo sehemu yakuripoti matendo uliyofanyiwa na huyo mzee? Kwani umeshindwa kumwambia shangazi yako? Hata wewe inawezekana ulikuwa unamtega.

Hebu tumia akili, nkimwambia shangazi ataniamini mimi au atamuamini mumewe??
 
Ndiyo maana siku hizi siruhusu mazoea ya ajabu ajabu kwa wanangu hata kama ni ndugu yangu.Watu wamekuwa na ajabu sana.

sio tu kwa ndugu zako hata kwa baba yao ni hatari hasa kwa watoto wa kike. Yaani hao ni mbwa kila wakionacho kinaenda mdomoni.
 
sasa wewe umemka umevaa night dress mtepeto
na unajua usiku ndo mpini unakua active.
unategemea nin,

na kwanini usiende lia daku yako chumbani..
 
Au ni Mwanaume au siyo Mwanaume. Kama ni Mwanaume, basi "All men a Dog."

Nilichotaka kukuambia tu ni kuwa "Usitufunge wanaume wote kwenye kapu moja, si vizuri mwaya." Wengine ni Mashoga.

nyerere_with_pope_john_paul_ii.jpg

Nimejaribu kutafakari kati ya ulichokisema na picha uliyoiweka. Nimeshindwa kuelewa una maana gani!???
 
Wacha niwe "mwanakijiji" lkn zee kama hili mwache aende, alichelewa kurudi so time alirudi akanikuta alone

Peleka frustration zako huko kama wewe ni mali ungeketi peke yako mezani usiku bila kibajangoro pembeni yako? kakuona majanga ndio mana akaleta majanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom