Wazee mwisho chalinzeee!!!Baba V kwani mjini kuna wazee?
Huna lolote, matangazo tu.
Tumeshajua unamsimamo, japo wenye msimamo wa kweli hawahitaji matangazo.
"all mens are dogs!!?" No, sio kila njano ni yanga
sasa wewe umemka umevaa night dress mtepeto
na unajua usiku ndo mpini unakua active.
unategemea nin,
na kwanini usiende lia daku yako chumbani..
Peleka frustration zako huko kama wewe ni mali ungeketi peke yako mezani usiku bila kibajangoro pembeni yako? kakuona majanga ndio mana akaleta majanga
Huna lolote, matangazo tu.
Tumeshajua unamsimamo, japo wenye msimamo wa kweli hawahitaji matangazo.
"all mens are dogs!!?" No, sio kila njano ni yanga
Fafanua hilo neno "kibarajangoro" btw mimi ni mali and I dnt thnk am anythng less!!
Wacha niwe "mwanakijiji" lkn zee kama hili mwache aende, alichelewa kurudi so time alirudi akanikuta alone
Umeona eeh...mujini kuna mambo jamani!Wazee mwisho chalinzeee!!!
Mimi!!!...kaka?Ivo ivo kaka, wazee wapo vijijini.
You may have looks but mentally sick ingefaa sana uitwe MkeJina kwa kukosa kipenzi wa kukaa naye mezani saa kumi usiku
We malaya kwa nyumba za watu unatafuta nini? Jenga mji wako kama hutaki kugegedwa, wachumba kama nyinyi mnakaa kwa kutegemea puchu ya ant mtaliwa sana, sasa jiandae kufukuzwa hapo.
Ukikubali kuolewa na Mchawi lazima ujuwe kupika nyama za watu.
Wala bwana hafurahii kifo chake yeye afae; ukifa wafa lwako na ukikosa mume wamkosa kivyako mungu hahusiki unachotakiwa ni kuingia kwenye kumi na nane husika kama huingii ni tabu yako. Mpaka hapo hujaelewa kuwa mali au kutokuwa mali ni nini? ni vigezo yakheee wala si muonekano wa kimaumbileHuhuhuhuhuhu usinifurahishe kwani lazma niwe na mtu kama unavyomaanisha wewe,ndoa ni rizki my dear mungu ndo anapanga kama unamaanisha wa kunitumia umekosoa njia hapa si penyewe
Wala bwana hafurahii kifo chake yeye afae; ukifa wafa lwako na ukikosa mume wamkosa kivyako mungu hahusiki unachotakiwa ni kuingia kwenye kumi na nane husika kama huingii ni tabu yako. Mpaka hapo hujaelewa kuwa mali au kutokuwa mali ni nini? ni vigezo yakheee wala si muonekano wa kimaumbile