Huyu mzee vipi???!!

Huyu mzee vipi???!!

CnaJina

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
468
Reaction score
84
Wazee wengine bhana wanajivunjia heshima wenyewe, nlikua namuheshimu sana lakn sasa hata nkimuona naskia kichefu chefu, aliyesema "All men ar dogs" hakukosea kabisa, huyu mzee mkubwa kuliko hata baba yangu ukizingatia ni mume wa shangazi yangu, naona anataka kunizoea vibaya, juzi nliamka daku peke yangu wengine walikua hawataki kula, sasa tukawa mimi na yeye dining table mara atake kunilisha mara anichum yani I was shocked hadi nkashindwa la kuongea sinc wen mimi na zee kama huyu tukaecti "kuchkuch"................wazee wengine majangaaaaa
 
Wacha uanakijiji wewe... wazee ndo habari ya mjini.. , afu.... Hold on... Umesema uliamka peke yako..!?? ikawaje mkawa nae mezani!???? Ngastuka... machale kun'densa
 
Wacha niwe "mwanakijiji" lkn zee kama hili mwache aende, alichelewa kurudi so time alirudi akanikuta alone
 
Wacha uanakijiji wewe... wazee ndo habari ya mjini.. , afu.... Hold on... Umesema uliamka peke yako..!?? ikawaje mkawa nae mezani!???? Ngastuka... machale kun'densa
Baba V kwani mjini kuna wazee?
 
Last edited by a moderator:
Unaamka kimitego ulitaka afanyaje sasa au ulifikiri ng'ombe anazeeka maini? Kama ungekua umejisitili vyema wala usingeyapata hayo.
 
Huna lolote, matangazo tu.
Tumeshajua unamsimamo, japo wenye msimamo wa kweli hawahitaji matangazo.
"all mens are dogs!!?" No, sio kila njano ni yanga
 
Au ni Mwanaume au siyo Mwanaume. Kama ni Mwanaume, basi "All men a Dog."

Nilichotaka kukuambia tu ni kuwa "Usitufunge wanaume wote kwenye kapu moja, si vizuri mwaya." Wengine ni Mashoga.

nyerere_with_pope_john_paul_ii.jpg

Inaezekana, lkn huo udog haezi kunifanyia mm
 
Au ni Mwanaume au siyo Mwanaume. Kama ni Mwanaume, basi "All men a Dog."

Nilichotaka kukuambia tu ni kuwa "Usitufunge wanaume wote kwenye kapu moja, si vizuri mwaya." Wengine ni Mashoga.

nyerere_with_pope_john_paul_ii.jpg

Kwan mashoga nao ni wanaume??
 
Wazee wengine bhana wanajivunjia heshima wenyewe, nlikua namuheshimu sana lakn sasa hata nkimuona naskia kichefu chefu, aliyesema "All men ar dogs" hakukosea kabisa, huyu mzee mkubwa kuliko hata baba yangu ukizingatia ni mume wa shangazi yangu, naona anataka kunizoea vibaya, juzi nliamka daku peke yangu wengine walikua hawataki kula, sasa tukawa mimi na yeye dining table mara atake kunilisha mara anichum yani I was shocked hadi nkashindwa la kuongea sinc wen mimi na zee kama huyu tukaecti "kuchkuch"................wazee wengine majangaaaaa

hapo kwa red niondoe tafadhali
 
Angekuwa kijana wala usingesema ila kwakuwa ni mzee ndo umemtolea nje.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom