Huyu mwandishi nguli mbona simsomi? Habari za weledi hazikuwepo wakati wa hayati JPM?

Pascally kaanza kutembea na fursa baada ya kujipendekeza kwa magu akapotezewa sasa anatupa turufu yake kwa mama Samia.

Bado anatafuta uteuzi
Kwataarifa yako Pascal Mayalla wala hajipendekezi sema aliwaza tu kuhusu familia yake na hela ya kujikomboa baada ya kupewa kesi ya kuhujumi uchumi na kupiga hela deki. Ila kumbuka ni miongoni mwa Watanzania watatu ambao ndani ya miaka 5 na miezi minne na siku 16 za utawala wa magufuli aliweza kumuuliza swali la kikatiba kuhusu demokrasia ya hii Nchi. Uzuri Magufuli R.I.P (P- popote) hakuweza kujibu mpaka anaingia kwenye tumbo la ardhi.
 
Sijamuelewa kabisa huyu mwandishi nguli ana maana gani? Yaani enzi za hayati magufuli kulikuwa hakuna weledi? Alikuwa anafanya kazi kwa kuangalia watu?View attachment 1741287View attachment 1741288

Tulisema chini ya Magufuli, nchi hii aliiendesha kidhalimu mpaka watu wakawa wanasifia wasivyoviamini. Sasa hivi watu wametoka kwenye kifungo cha dhalimu, hatimaye wanaanza kuongea ukweli.
 
Haaaaa, kwamba wasingemsimfia wangelikamtwa? Ahaaa, sasa wanasema kweli?
 
Kwataarifa yako Pascal Mayalla wala hajipendekezi sema aliwaza tu kuhusu familia yake na hela ya kujikomboa baada ya kupewa kesi ya kuhujumi uchumi na kupiga hela deki. Ila kumbuka ni miongoni mwa Watanzania watatu ambao ndani ya miaka 5 na miezi minne na siku 16 za utawala wa magufuli aliweza kumuuliza swali la kikatiba kuhusu demokrasia ya hii Nchi. Uzuri Magufuli R.I.P (P- popote) hakuweza kujibu mpaka anaingia kwenye tumbo la ardhi.
So what?
 
Pascally kaanza kutembea na fursa baada ya kujipendekeza kwa magu akapotezewa sasa anatupa turufu yake kwa mama Samia.

Bado anatafuta uteuzi
Tatizo kwa wanaomwandama Paskali na wengine ambao walikuwa upande wa Magufuli ni kwamba kila hoja aliyokuwa akiisema Paskali na wenzake, wanaambiwa walikuwa wakijipendekeza kwa Magufuli ili watibu njaa. Hivi sasa Paskali anaambiwa anatupa turufu kwa mama Samia. Mtu anatoa hoja kufuatana na mawazo yake. Wewe, kwa kuzidiwa hoja na kushindwa kutoa hoja mbadala zinazokinzana na zilizowekwa jamvini, unaishia kumsema mwenzako anajipendekeza. Sasa wewe unayepinga yasemwayo, unajipendekeza kwa nani? Kwa nini mwenzako tu ndiye awe anajipendekeza na si wewe? Hii ni dalili ya ufinyu wa fikra ambao haustahili kuwa kwenye jukwaa la Great Thinkers kama hili la JF. Kama huwezi kutoa hoja ya kupinga iliyotolewa, kaa kimya. Siyo lazima ujibu kila uzi hata kama huna hoja ya msingi ya kupingana na iliyosemwa. Utajilindia heshima yako kwa kukaa kimya badala ya kupwayuka na kauli zisizo na msingi za kujipendekeza kwa mtu mwenye mawazo tofauti na yako.
 
Safari hii sukuma gang yote mna hali mbaya sana kimaisha mara baada ya mfadhili wenu kuwaacha.

Nawashaurini mkubali matokeo na muanze kuishi maisha ya kawaida kwa kufanya kazi halali ili mjiingizie kipato halali.
 
Kila mtu akiishi hivyo mbona hiii itakuwa nchi ya hovyo sana ya watu wasio na chochote wanachosimamia ila tumbo na familia zao tu.
Sasa hivi ndiye yeye real kipindi kile alikua anaongozwa na tumbo pia nakumbuka kama alishawahi kusema kwenye lile bandiko lake kua ana familia inamtegemea so lazima a play smart
 
!

Back
Top Bottom