Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Kwa 100% Pascally hawezi kukanyaga kwenye hiyo nafasiNa anailenga nafasi za Gerson Msigwa na Mahmoud Abbas.
Kwa 100% Pascally hawezi kukanyaga kwenye hiyo nafasiNa anailenga nafasi za Gerson Msigwa na Mahmoud Abbas.
Nawewe humuamin kada mwenzio mkuu?Hahahaaaa...... Binadamu siyo wa kuwaamini kabisa bora umuamimi paka!
Mnafiki tu huyo hana loloteSijamuelewa kabisa huyu mwandishi nguli ana maana gani? Yaani enzi za hayati Magufuli kulikuwa hakuna weledi? Alikuwa anafanya kazi kwa kuangalia watu?
Hahaha PascalPascally kaanza kutembea na fursa baada ya kujipendekeza kwa magu akapotezewa sasa anatupa turufu yake kwa mama Samia.
Bado anatafuta uteuzi