Huyu mwandishi nguli mbona simsomi? Habari za weledi hazikuwepo wakati wa hayati JPM?

Alisifiasifia mwanzoni walau apate uteuzi akachemka na baada ya hapo inaonesha mifumo ya utawala wa hayati roho mbaya ilibana uchumi akapotea kabisa,
Amesubiri ngosha kafa ndio anaibuka,
Pasco ameshindwa kushusha hata uzi wa maombolezo wa hayati ngosha kweli!
 
Sasa hivi ndiye yeye real kipindi kile alikua anaongozwa na tumbo pia nakumbuka kama alishawahi kusema kwenye lile bandiko lake kua ana familia inamtegemea so lazima a play smart
 
Sijamuelewa kabisa huyu mwandishi nguli ana maana gani? Yaani enzi za hayati magufuli kulikuwa hakuna weledi? Alikuwa anafanya kazi kwa kuangalia watu?View attachment 1741287View attachment 1741288
Yes, but it should have been the first step in house cleaning to remove deadwoods not the last
step because first impressions always go a long way to build you up while giving you a leeway to make amends as you go along. The best diplomat will get lost in the carry forward jungle!
 
Sijamuelewa kabisa huyu mwandishi nguli ana maana gani? Yaani enzi za hayati magufuli kulikuwa hakuna weledi? Alikuwa anafanya kazi kwa kuangalia watu?View attachment 1741287View attachment 1741288
Paskali ni akili kubwa huwezi kumuelewa!

Hata baba yako hakumuelewa wakati wa uhai wake akaishia kumuita manjaa!

Ni kweli,wakati wa utawala wa Magufuli, weledi uliwekwa pembeni. Ushahidi ni uteuzi wa Bashiru kuwa KMK akiwa hana sifa na mwalimu wa sheria Kabudi kuwa wazuri wa mambo ya nje.
 
Yes, but it should have been the first step in house cleaning to remove deadwoods not the last
step because first impressions always go a long way to build you up while giving you a leeway to make amends as you go along. The best diplomat will get lost the carry forward jungle!
Tunahitaji mkalimani please.
 
Back
Top Bottom