Huyu mwanaume simwelewi kabisa

Wadada mnashangaza kweli yaani kutumia vya wanaume kwenu ni halali ila vyenu kutumika ni haramu na povu lina watokaa. Hiyo ndo 50 kwa 50 tunayo itaka mama hangaika mchana usiku jamaa nae ahangaike kukupeleka dubai.

Komaa dada ipo siku utafurahia haya maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
me ningepata uchizi .. any way ajipime kama ataweza sababu me siwezi
Wachaga ndo zenu,mnaendekeza ubinafsi sana huku mapenzi ya dhati sifuri.Kwahiyo kumuhudumia mpendwa wako unaona amefaidi sana? Je na wewe ukipata janga akakuhudumia utasemaje? Acheni upuuzi wanawake wa namna hii,msiangalie upande wenu tu,hali ni ngumu pande zote na fursa zilizopo ni sawa kwa wote.Nawachukia sana nyie wachaga,sina hamu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmmmm mshkaji naye hata hajishtukii..!!!!
Hebu jaribu kumuomba na yeye leo uakupikie kwake uende ukale, usikie jibu lake, au mwambie tu hata gesi imeisha na hauna pesa, usikie jibu lake litakupa mwanga wa kusonga mbele
 
Nakutahadharisha tu kuwa huyo si mtu wa kuolewa naye.
Usione aibu kumwambia sina pesa ya chakula hata kama unayo.
 
Subiri uone jua linazama halaf watu wamekuvalia miwani ya bati halaf chimpanzee mmoja ajipendeze kuomba penzi uine unyenyekevu wako utakavokuwa wa hali juu
hapana mkuu bora nibaki mwenyewe kuliko mwanaume kama wa mleta mada
 
mmmmm mshkaji naye hata hajishtukii..!!!!
Hebu jaribu kumuomba na yeye leo uakupikie kwake uende ukale, usikie jibu lake, au mwambie tu hata gesi imeisha na hauna pesa, usikie jibu lake litakupa mwanga wa kusonga mbele
Huwez amini hajawahi hata nikaribisha kwake kisa tu anaishi na rafiki yake
 
Wachaga ndo zenu,mnaendekeza ubinafsi sana huku mapenzi ya dhati sifuri.Kwahiyo kumuhudumia mpendwa wako unaona amefaidi sana? Je na wewe ukipata janga akakuhudumia utasemaje? Acheni upuuzi wanawake wa namna hii,msiangalie upande wenu tu,hali ni ngumu pande zote na fursa zilizopo ni sawa kwa wote.Nawachukia sana nyie wachaga,sina hamu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
kama hilo ndiyo ubinafsi acha niwe hivyo .. nichukue muda nikupikie na bado ninunue chakula mwenyewe ? mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu kama upo hivyo hufai hata kwa kuchovya
 
Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.

Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.

Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana

Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.

Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Maswali matatu muhimu:

1.Mpaka sasa mna muda gani ktk mahusiano yenu?

2. Hapo unazungumzia misosi zaidi je vitu vingine anakupatia hata kama sio mara kwa mara?

3.Yuko wazi kiasi gani kwenye hayo mliyoyapanga( barua + future zingine?)

5.Ratiba zake zikoje? I mean una share nae ratiba? Ile kujua kwamba wakati gani yuko wapi na anafanya nini!

Ukiweza nijibu maswali haya nikusaidie kitu..

***Usije ukapoteza meli na abiria wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom