Huyu mwanaume simwelewi kabisa

Huyu mwanaume simwelewi kabisa

Yani ujipinde weee...utafute hela,umpikie aje kula aondoke?
Si bure akupe japo viwili vya kulalia tutasema amejiuza akadanga akapata kwa kula?
 
Kwanza nikupe pole kwa kuwa hujui nni kilitokea mpaka mkajikuta mmekulana, hahahaha ni masihara yaliyoje haya!
Im a MARIOOOO
My Dad is from albaniaaa and my mom is living daresalamaaa paw yeah u got it damn paw!
Mariooo.
 
Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.

Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.

Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana

Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.

Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
ongea naye inawezekana ni malezi ya wazazi wake amezoea kupewa zaidi na si kutoa. mwambie
 
Nipe namba yake nikusaidie ku share. Namchana mpaka akukabidhi kadi yake ya atm uwe unampangia matumizi .... mpuuzi sana huyo.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Kuna wenzio km wewe hawatoi hata senti tano wamewekwa tu ndani wanahudumiwa kila kitu lakini wanaona wanaume mafala! We pambana na hali yako Dada si umependa..
 
ha hahaha kabisa na bado anapigwa invoice na mnuno juu
 
Back
Top Bottom