Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,117
- 165,384
Switi hii topic itakua inafundishwa twisheni tuHivi mke wangu, hizi habari za kupimana kwenye mapenzi mnafundishaga darasa la ngapi kwani? Kwenye syllabus yangu zikupitiaga hayo makitu.
Kupimana? Eti anakupima? That is a weak ass man ambaye hawezi kukuchunguza, kuongea na wewe kupata majibu mpaka akupime...dah au ni topic mpya ya Chemistry!???
Sent using Jamii Forums mobile app