Huyu mwanamke sijamuelewa bado

Huyu mwanamke sijamuelewa bado

Siku hizi wachumba hutafutwa kwa namna yeyote ile, ukichelewa kutongoza unatongizwa ilimradi una afya njema na unajimudu
 
Makazini siku hizi yamejaa mapoyoyo sana
Katika pita pita zangu za mwezi uliyo isha nilikuwa katika harakati za kufatilia kitambulisho cha NIDA coz mimi ni mtumishi wa serikali, nikakutana na dem sasa ghafla mwenzangu ninae fnya nae kaz akawa amenipgia sim kuniulizia mambo ya kazi na huduma zinazo husu utumishi nikamjibu kumbe yule dem ananisikilizia ghafla jamaa akakata sim nimekaa kama dakika 10 nikawa nimemuomba namba huyo dem coz tulikuwa katika harakati za kutafuta usafiri; ghafla gari likatokea tukapanda ilkuw ni tax ilifika sehem tukaachana, hapo hapo tulianza kuwasiliana na kuanza kuniita mmewang mam@eee. Nikasema sikajiingiza mkenge huyu? Mwisho wa siku nilimuita kwangu na tulikaa nae kama wiki mbili hv bahat nzur nilichukua likizo tukaachana ye akaenda kwao na mm kwetu chakushangaza sasa saiv ananilazimisha niende kwao nikajitambulishe sijui kisa kakuta home kwangu maisha sio magum kiviiiile japo nimagum.
Niishie hapo msije shindwa soma wakuu
 
Anaweza kuwa mwanamke alikwenda kwenye maombi akaonyeshwa kwamba wewe ndiyo mme wake.Kubali kuomuoa huyo ndiyo malkia wako uliyepewa.
Maisha sijui yakoje,unaweza kuwa na ndoto ya kuja kuoa mtu wa aina fulani;ghafla anakuja kutokea mtu ambaye hata hukumfikiria...anakuwa mkeo.
 
mkuu umemchukua tena ukampeleka gheto kwako umemfukunyua wiki mbili zote. anakufulia, anakupikia, anapakua mnakula. sasa huyo si ni mke wako tayari?
 
Back
Top Bottom