Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,061
Haaaa haaaa. [emoji23][emoji23][emoji23]kama serikali ina ajiri mtu wa hovyo kama wewe ni haki tuendelee kubaki masikini.
Haaaa haaaa. [emoji23][emoji23][emoji23]kama serikali ina ajiri mtu wa hovyo kama wewe ni haki tuendelee kubaki masikini.
Umekaa naye week mbili unamfukunyua sasa kubali matokeo. Huyo mkeo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama nimempenda mwez mmoja tu? Je kama alkuw anadanga? [emoji23][emoji23][emoji23]
Anajua kozi katika pitapita alkuta mkeka nmeu screen short alafu nilikuwa nmepgwa laki mbili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umma umepatikana haswa ikiwa wewe ndio mtumishi wake.
Umekaa naye week mbili unamfukunyua sasa kubali matokeo. Huyo mkeo [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua tafsiri ya baharia lakini au umejiita tuu?!...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] awapi mm ni baharia
Imra [emoji777]Njoo ukague cheti changu uone kipo swafiii kabisaaa, nyie mnataka niandke kwa kufuata aya, kituo imekua imra?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na ndicho alicho kikuta et anajifanya kunijaaali lakin kilicho nifanya nim blacklist huyu dem anapga mizinga kila kukicha mara hela ya lotion mara sijui anaumwa nimtumie hela nikimwambia wazazi siuwaambie? Ananiambia oooh mama katuma hela kwa mdogo wangu hvyo hana hela saivi [emoji16][emoji16][emoji16] ndipo nilipo shusha blacklist ya hatari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Baba huku mtaani mambo magumu dem akija kwako akaona kuna dalili ya milo 3 na flat-screen kesho anaanza kuja ka kanguo kamoja kamoja keaho begi kesho kutwa mashemeji
Mabaria ntakupeleka kwa msela wangu kesho ukirudi unakuta kufuli na blacklist juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ubet upate hela mzee umpee[emoji39][emoji39][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na ndicho alicho kikuta et anajifanya kunijaaali lakin kilicho nifanya nim blacklist huyu dem anapga mizinga kila kukicha mara hela ya lotion mara sijui anaumwa nimtumie hela nikimwambia wazazi siuwaambie? Ananiambia oooh mama katuma hela kwa mdogo wangu hvyo hana hela saivi [emoji16][emoji16][emoji16] ndipo nilipo shusha blacklist ya hatari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Anatuma tu sms nazionaaaa