Huyu mwanamke sijamuelewa bado

Huyu mwanamke sijamuelewa bado

Mme kutana mwezi ulio pita..uka muita kwako aka kaa wiki 2 duuh ..mkuu nenda tu kaji tambulishe[emoji28][emoji28][emoji28]unaanzaje kukaa na mtu wiki 2 kwako
wiki 2 alafu hataki binti amuite mume wake[emoji23][emoji23]
 
Nimemwambia hvyo kuwa ni mapema sana kashindwa kunielewa na ananilaum kuwa simpend nimwambie tu kama simpend kuliko kumpotezea mda it means kwamb anataka ku force mambo unaweza oa mdangaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nakushairi ufoji nyaraka za kifo tu, maana kwa uzembe unaotuonyesha hapa lazima umuoe[emoji1][emoji1]
 
Hata kama nimempenda mwez mmoja tu? Je kama alkuw anadanga? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama alikuwa anadanga sasa ameamua kutulia apate ndoa acha dharau utampata wapi mwanamke ambaye hajadanga
 
GHAFLA nimeshindwa kuuelewa huu uzi!
GHAFLA nimekumbuka ni mtumishi wa umma
GHAFLA nawaza anavyohudumu kazini

Ila mwishoni

GHAFLA demu kaona huyu ni mzee wa ghala ghafla acha na mm nimpeleke ghafla kwa wazee. Ndo ivo tu mkuu!

Ghalfa namuona Kiduku Lilo acha nikamuombe lift kwenye ile Range rover pana, leo hayuko na ile VW
 
Hawa watumishi wa umma wa miaka hii, hawajui kuandika kwa paragraph kabisa, aafu hilo saga lenu mbona limekuwa rahisi sana kiasi hiko, baina ya wewe kuchukua namba yako, kukuita mume na kumuita nyumbani kwako..Fanya tu ukajitamblishe kwani si uko single mzee
 
Kama watu wanakaa miaka wanatemana wiki mbili je?
Sa unashindwa nini kumtema au ndo mpaka ushauriwe na wanaume wenzako? Una miaka mingapi kwani?
 
Nakushairi ufoji nyaraka za kifo tu, maana kwa uzembe unaotuonyesha hapa lazima umuoe[emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] awapi mm ni baharia
 
Katika pita pita zangu za mwezi uliyo isha nilikuwa katika harakati za kufatilia kitambulisho cha NIDA coz mimi ni mtumishi wa serikali, nikakutana na dem sasa ghafla mwenzangu ninae fnya nae kaz akawa amenipgia sim kuniulizia mambo ya kazi na huduma zinazo husu utumishi nikamjibu kumbe yule dem ananisikilizia ghafla jamaa akakata sim nimekaa kama dakika 10 nikawa nimemuomba namba huyo dem coz tulikuwa katika harakati za kutafuta usafiri; ghafla gari likatokea tukapanda ilkuw ni tax ilifika sehem tukaachana, hapo hapo tulianza kuwasiliana na kuanza kuniita mmewang mam@eee. Nikasema sikajiingiza mkenge huyu? Mwisho wa siku nilimuita kwangu na tulikaa nae kama wiki mbili hv bahat nzur nilichukua likizo tukaachana ye akaenda kwao na mm kwetu chakushangaza sasa saiv ananilazimisha niende kwao nikajitambulishe sijui kisa kakuta home kwangu maisha sio magum kiviiiile japo nimagum.
Niishie hapo msije shindwa soma wakuu
Umechukua muda kumsoma na kumjua tabida yake. Mmekutana na ny*ge zenu leo mnataka mkatambulishane muoane. Vijana wa siku hizi JINGA sana ndio maana kila siku talaka tu watu mnakurupuka hamjuani mnataka kuoana mtakuja kuoa majini watu
 
Nimemwambia hvyo kuwa ni mapema sana kashindwa kunielewa na ananilaum kuwa simpend nimwambie tu kama simpend kuliko kumpotezea mda it means kwamb anataka ku force mambo unaweza oa mdangaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Basi amua wewe kama mwanaume. Fata moyo wako unataka nini.
 
Ina maana mapenzi yenu yana muda wa Mwezi mmoja, wiki mbili uliishi nae, nikutakie kila lakheri.
 
Hahahah baharia umeotea loose ball sasa tukushauri nini kama ushapiga na kila mtu kaenda kwa wazazi wake waliomzaa🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom