Huyu mwanamke sijamuelewa bado

Huyu mwanamke sijamuelewa bado

Katika pita pita zangu za mwezi uliyo isha nilikuwa katika harakati za kufatilia kitambulisho cha NIDA coz mimi ni mtumishi wa serikali, nikakutana na dem sasa ghafla mwenzangu ninae fnya nae kaz akawa amenipgia sim kuniulizia mambo ya kazi na huduma zinazo husu utumishi nikamjibu kumbe yule dem ananisikilizia ghafla jamaa akakata sim nimekaa kama dakika 10 nikawa nimemuomba namba huyo dem coz tulikuwa katika harakati za kutafuta usafiri; ghafla gari likatokea tukapanda ilkuw ni tax ilifika sehem tukaachana, hapo hapo tulianza kuwasiliana na kuanza kuniita mmewang mam@eee. Nikasema sikajiingiza mkenge huyu? Mwisho wa siku nilimuita kwangu na tulikaa nae kama wiki mbili hv bahat nzur nilichukua likizo tukaachana ye akaenda kwao na mm kwetu chakushangaza sasa saiv ananilazimisha niende kwao nikajitambulishe sijui kisa kakuta home kwangu maisha sio magum kiviiiile japo nimagum.
Niishie hapo msije shindwa soma wakuu
Muombe t.i.g.o atasepa mazima
 
Ina maana mapenzi yenu yana muda wa Mwezi mmoja, wiki mbili uliishi nae, nikutakie kila lakheri.
Nilichukua wakutolea genye tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa anataka kuniganda.
 
Hahahah baharia umeotea loose ball sasa tukushauri nini kama ushapiga na kila mtu kaenda kwa wazazi wake waliomzaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Katika pita pita zangu za mwezi uliyo isha nilikuwa katika harakati za kufatilia kitambulisho cha NIDA coz mimi ni mtumishi wa serikali, nikakutana na dem sasa ghafla mwenzangu ninae fnya nae kaz akawa amenipgia sim kuniulizia mambo ya kazi na huduma zinazo husu utumishi nikamjibu kumbe yule dem ananisikilizia ghafla jamaa akakata sim nimekaa kama dakika 10 nikawa nimemuomba namba huyo dem coz tulikuwa katika harakati za kutafuta usafiri; ghafla gari likatokea tukapanda ilkuw ni tax ilifika sehem tukaachana, hapo hapo tulianza kuwasiliana na kuanza kuniita mmewang mam@eee. Nikasema sikajiingiza mkenge huyu? Mwisho wa siku nilimuita kwangu na tulikaa nae kama wiki mbili hv bahat nzur nilichukua likizo tukaachana ye akaenda kwao na mm kwetu chakushangaza sasa saiv ananilazimisha niende kwao nikajitambulishe sijui kisa kakuta home kwangu maisha sio magum kiviiiile japo nimagum.
Niishie hapo msije shindwa soma wakuu
Kwako maisha sio magumu kivile ila ni magumu hii ulimaanisha nini mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kule watu mna gundu sana siku hizi.
Bora kufanya hustle zangu kimya kimya tu
Mkuu c uniungishe kwenye hzo haso zako
Tu kamanda Na mm nirudishe japo nusu
Hasara
 
Sio sisi bhana [emoji1787][emoji1787][emoji1787], kina deep pond ndo wanaleta gundu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dhuuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ngoja nirud chaman
 
Rudi uone saiv mambo yameharibika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Amkubushe kabsa Leo kuna UEFA
UEFA mtapgwa nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom