Huyu mwanamke sijamuelewa bado

Huyu mwanamke sijamuelewa bado

Mstiri mtoto wa mwanamke mwenzio mkuu, shida iko wapi? Au hajakidhi vigezo.
Vp mkuu sikuiz umeacha kubet? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana hupatkan kule
 
Mil ya Kanji ukaolea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ona sasa huna kitu unaanza kulia
 
Sasa unalialia nini?
- Unajua kwa mujibu wa sheria ya ndoa kukaa na mwanamke nyumbani kwako kwa muda fulani sheria itawatambua kama mume na mke hata bila harusi??

- sasa wewe umekaa na mtu nyumbani kwako wiki2 alafu unashangaa akikuita mume wake,, aisee vijana kuweni serious na maisha yenu.
 
Mwambie ni mapema sana mkae muda kwanza mfahamiane vizuri.
Husimjibu vibaya ataelewa.
Nimemwambia hvyo kuwa ni mapema sana kashindwa kunielewa na ananilaum kuwa simpend nimwambie tu kama simpend kuliko kumpotezea mda it means kwamb anataka ku force mambo unaweza oa mdangaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Sasa unalialia nini?
- Unajua kwa mujibu wa sheria ya ndoa kukaa na mwanamke nyumbani kwako kwa muda fulani sheria itawatambua kama mume na mke hata bila harusi??

- sasa wewe umekaa na mtu nyumbani kwako wiki2 alafu unashangaa akikuita mume wake,, aisee vijana kuweni serious na maisha yenu.
Kuniita mme alianza mara baada ya kubadilishana namba ndugu. Sio tulivyo ishi noooo.
 
Mme kutana mwezi ulio pita..uka muita kwako aka kaa wiki 2 duuh ..mkuu nenda tu kaji tambulishe[emoji28][emoji28][emoji28]unaanzaje kukaa na mtu wiki 2 kwako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nigundue nn?
 
Mme kutana mwezi ulio pita..uka muita kwako aka kaa wiki 2 duuh ..mkuu nenda tu kaji tambulishe[emoji28][emoji28][emoji28]unaanzaje kukaa na mtu wiki 2 kwako
Kama watu wanakaa miaka wanatemana wiki mbili je?
 
Nimemwambia hvyo kuwa ni mapema sana kashindwa kunielewa na ananilaum kuwa simpend nimwambie tu kama simpend kuliko kumpotezea mda it means kwamb anataka ku force mambo unaweza oa mdangaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si umdange kanji mzee Upate mahariii
 
Back
Top Bottom