Huyu mwanamke atanitoa roho

Mimi ni miongoni mwa watu tusioamini existence ya upendo.....

Kinachoomiza watu daily ni MAZOEA mlijiwekea kati ya jinsia moja na nyingine, either ni mawasiliano yenu, kukutana kwenu au vingine vingi


Mfano: ushajiuliza ni kwanini upendo (mazoea) wa mama kwa mtoto ni mkubwa sana kuliko wa Baba? Ni kwasababu mama alipata muda mwingi kukaa na mtoto hivyo ikajenga mazoea (upendo) kuliko kwa Baba.....

Hata kwa upande wa Baba kwa mtoto pia



Wengine tumewahi kuwaacha wapenzi au kuachwa na wapenzi then, still mnakaa nyumba moja(mliopanga) au mtaa mmoja unahisi ni maumivu kiasi gani?

Unachotakiwa kukifanya kama kakuacha sioni sababu ya kungangania kisichokuwepo, kaa, tuliza akili, fanya kama hujawahi kukutana naye au hayupo kabisa


Maisha yataanza kubadilika hatimaye utaweza kurudia hali ya kawaida, penda kufanya vitu ambayo unavipenda kama ni mpira, music, kuchat au kupiga story tafuta eneo utakalo fit ili uweze kuondokana na hiyo hali


Mr. Ben
 
Wanawake hamna huruma kabisa
 
Reactions: BAK
You're blue-pilled simp, you seriously need a red pill and live in reality.
 
Tatizo la kitambi chako hicho ni ile mijivyuku, nilikukuta unanunua pale majengo na vidoti vyako flani vyeupe hapo reception...[emoji847][emoji847]
Mkuu...Sina vidoti vyeupe reception...utakuwa umenifananisha..
Vyuku Wala sili..wali harage na vutumbua ndo Shiiidah[emoji23][emoji23]
 
Mapenzi ni siraha ya kunibadirishia mtu mbaya kua mzuri. Naona yananipeleka kua mtu mwingine kabisa ambae sijafikiria kua
Huna haja ya kufanya ubaya wowote.

Lazima ukubali kukubaliana na mambo wakati mwengine mambo yanakwenda tofauti katika maisha.

Hakuna mtu asieumia, lkn wenzako tunakubaliana na matokeo na kujikaza kiume. Ili chuma kitengenezwe lazima kipitie moto, amini baada ya kupitia hali km hiyo ndo utakuwa strong kama chuma.

Shtuka bro
 
We nae na shungi lako si umpee moyo wako mwenzio.


Ndo maana unafanana na baba.
[emoji23][emoji23][emoji23]...Jamani Mimi kufanana na baba mbona kheri Sana..Baba Yangu alikua mzuri Sana wa sura na Tabia..(Mwenyezi Mungu amuwei Radhi baba jangu)

Nshampa moyo kaaribu saiv nimeuacha ndo anakumbuka shuka...alikiona Cha Nini..saiv roho mkononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…