Huyu mwanamke atanitoa roho

Wakati mwingine tunaowapenda hutuacha kwa maumivu ili kumleta aliye bora zaidi, katika vitu namshukuru Mungu ni ex kuondoka maana wangejifanya kuniganda huyu mfalme ningemtolea wapi? Ulaya je ningeijulia wapi? Range ningelisukuma lini? Na vingine vingi, hivyo mkuu piga moyo konde jipe muda mwanamke mwema yuko karibu tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwali, nimekucheki PM.
Naomba nipige picha na wewe, walau nije niwanyorishe huku Segese wilayani Masalala...πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Boss,How old are you?
 
Mwali, nimekucheki PM.
Naomba nipige picha na wewe, walau nije niwanyorishe huku Segese wilayani Masalala...πŸ˜‹πŸ˜‹
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Maisha hayana kanuni bwana ushi,
 
I'm on the way My Darling, I have missed everything about You Sweetheart πŸ₯°πŸ’‹πŸ˜˜
Mkuu...
Ebu punguzeni hayo makopa kopa, kwani mzadhani nasisi hatuna roho..??β˜ΉοΈπŸ˜”
 
Jipe muda, mpe na yeye muda, naamini muda ukifika atafungua moyo wake atakusikiliza tena, wanawake wakati mwingine tukikasirika jambo huwa tunaweka distance ila hasira zikiisha mambo yanakua sawa

Ila hiyo itatoke tu kama nae anakupenda, kama hana upendo wa dhati na wewe, accept the reality and let it go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…