luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,788
Pole sana walikufanya nini mkuu au walikurukisha kichura
wala sijawai kuwa ma mjeshi basi tu siwapendagi kutokana ka kazi zao
Pole sana walikufanya nini mkuu au walikurukisha kichura
Soja boy katishaaaa
Kweli dada tatizo la hawa wanaume wenzetu hawako romantic.......wanadhani kila kitu kinakwenda kwa amri tu.....wameathiriwa na mfumo wa kambini.....Umechanganywa na riafande Pole
kwa ufupi achana nae huyo Afande wana Visa hawa
Pole sana walikufanya nini mkuu au walikurukisha kichura
hapana basi tu sipendagi kazi zao jinsi walivyo namuonea huruma bint
Umeonaeeee......swali linakuja je atayaweza mambo ya kijeshi.......utasikia ..aro mura ebu rara nikurare
Habari wana MMU
Msishangae naandika nini hapa bado nipo kitandani najivuta kuamka nikatafute ulaji Lakini usiku wangu haukuwa mzuri kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana nae ni kama mwezi kiukweli nikwamba anadai ananipenda sana lakini nilimwambia nina mchumba anadai yupo tayari kwa lolote ili mradi nije kuwa mkewe.
Mwanzo sikuwa hata na mawazo naye ila siku mbili hizi nmejikuta nampenda sana hata usiku silali namuwaza hadi basi.
Anaonesha anajali kuliko mchumba Wangu
Hapa nipo njia panda
Nipeni mawazo yenu wakuu
Ndio walivyo......wenzetu wameathiriwa na mifumo...ya makambini...ambapo ni mwendo wa amri tu......Weee usinambie kumbe ndio walivyo????
Kila mtu unampenda ndani ya mwezi mmoja? mjeda--ndani ya mwezi, kibabu---ndani ya mwezi, na....
Ndio walivyo......wenzetu wameathiriwa na mifumo...ya makambini...ambapo ni mwendo wa amri tu......
Habari wana MMU
Msishangae naandika nini hapa bado nipo kitandani najivuta kuamka nikatafute ulaji Lakini usiku wangu haukuwa mzuri kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana nae ni kama mwezi kiukweli nikwamba anadai ananipenda sana lakini nilimwambia nina mchumba anadai yupo tayari kwa lolote ili mradi nije kuwa mkewe.
Mwanzo sikuwa hata na mawazo naye ila siku mbili hizi nmejikuta nampenda sana hata usiku silali namuwaza hadi basi.
Anaonesha anajali kuliko mchumba Wangu
Hapa nipo njia panda
Nipeni mawazo yenu wakuu
Mkuu unasema kweliii.....??mkuu hakuna watu wanaoonewa na wake zao kama maaskri.
Kuna wengne wananaswa vibao na wake zao lakn ukiwakuta kzn bonge la makamanda
Mkuu wengine walishapanga vile wanataka harusi yao iwe + kugoogle engagment ring wanayoitaka hahahaaa mtu unacheki simu kwa picha ni rings zimejaa unauliza kulikoni... Ati anachagua ipi ni new model and unique apate kuitengeneza ..... Chezea mwanaume wew kumbe ana mke wake huko alikotoka kwa huyu binti alikuwa anapiga mambo tyu hahahaaaa ni shidaaaa huku kujali huku tunakuogopa
habari wana mmu
msishangae naandika nini hapa bado nipo kitandani najivuta kuamka nikatafute ulaji lakini usiku wangu haukuwa mzuri kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana nae ni kama mwezi kiukweli nikwamba anadai ananipenda sana lakini nilimwambia nina mchumba anadai yupo tayari kwa lolote ili mradi nije kuwa mkewe.
Mpe amege kwanza.. Afu utajua
mwanzo sikuwa hata na mawazo naye ila siku mbili hizi nmejikuta nampenda sana hata usiku silali namuwaza hadi basi.
Anaonesha anajali kuliko mchumba wangu
hapa nipo njia panda
nipeni mawazo yenu wakuu