Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
mweeeeeeeee hili jukwaa nalo
"Anaonesha anajari"
Sisi wanaume huwa tunajua sana kujari kabla ya kupata yale mambo yetu.
We mpe tu ndio utajua kati yake na huyo wa sasa hivi nani anajua
"kujari"
Habari wana MMU
Msishangae naandka nn hapa bado npo kitandan najivuta kuamka nkatafute
ulaji Lkn
Ucku Wang haukuwa mzur!kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi
mzanzibar,nmefahamiana nae n kama mwezi kiukwel nkwamba anadai ananpnda
sana,lakin nilimwambia nna mchumba anadai yupo tyari kwa lolote mrad
nije kuwa mkewe, mwanzo sikuwa hata nawazo nae ila cku mbili hizi
nmejikuta nampnda sana hta ucku clali namuwaza had basi!
Anaonesha anajali kuliko mchumba Wang
Hapa nipo njia panda
Nipeni mawazo yenu wakuu
Muulize kama yuko tayari kuwa Mtanganyika
Hahahaa!
Unawajua tabia za jwtz,polisi,nurse?
Tena kama ni mzenj jiandae kabisa kuzibuliwa choo
... loyda..ni shida...
ana visa. lukuki..
[h=3]Nimeshuhudia shem akisaliti[/h] Started by loyda, 6th July 2014 15:45
[h=3]Nifanyeje kuhusu ili?[/h] Started by loyda, 8th July 2014 18:37
[h=3]Hii ipoje wapendwa[/h] Started by loyda, 23rd July 2014 09:01
[h=3]Nisaidieni wakuu hapa nimevurugika[/h] Started by loyda, 23rd August 2014 14:35
[h=3]Wadada wenzangu kama ni wewe unakutana na hali hii unaimalizaje?[/h] Started by loyda, 15th October 2014 16:54
[h=3]Sina raha baada ya ku-misplace Ipad niliyopewa zawadi na mpenzi wangu[/h] Started by loyda, 28th October 2014 13:06
Nurse? No idea brother, help tafadhali!
Habari wana MMU
Msishangae naandka nn hapa bado npo kitandan najivuta kuamka nkatafute ulaji Lkn
Ucku Wang haukuwa mzur!kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana nae n kama mwezi kiukwel nkwamba anadai ananpnda sana,lakin nilimwambia nna mchumba anadai yupo tyari kwa lolote mrad nije kuwa mkewe, mwanzo sikuwa hata nawazo nae ila cku mbili hizi nmejikuta nampnda sana hta ucku clali namuwaza had basi!

msaada gani sasa unataka?
chagua moja dada
Huyo mchumba wako naye umekaa nae muda gani? Hapo kwenye red, ndani ya mwezi 'ameshakupagawisha?' Nina uhakika ukiwa na huyo mzenji, atatokezea dume lingine na 'atakujali' zaidi ya huyu mzenji. Utafanyaje? Eidha haujitambui bado una yale mambo ya puppy love au una bahatisha bahatisha. Kuwa na msimamo na mapenzi ya kweli hayapimwi ndani ya mwezi.