Jinsi ninavotamani siku zirudi nyuma ili niyafute haya...

Mrsme

Senior Member
May 8, 2022
145
344
Episode 1.

Nikiwa bado binti mdogo ambae hata bado sikua nimewahi kushare kitanda na mwanaume, nilikua nipo form five nikiwa likizo nilikua napenda kwenda library ya mkoa pale dodoma kujisomea na rafiki angu (carin), siku moja tukiwa tunatoka kujisomea carin alikua na appointment na rafiki ake (Rah), wakati tunatoka pale library kwa mbali nikamuona mkaka handsome nae akiwa ananiangalia sana (tunaangaliana) lakini pemben alikua yuko na mdada, kumbe yule mdada alikua rah na huyo kaka n boyfriend wake.

Huku nikiwa bado tunatazamana had tulivowakaribia ndo nikaona wanapungiana mikono nikasema ndo hawa kumbe, basi tukasilimiana na kutambulishana hapo, ikabid mimi nifanye kuaga maana sikua na story nao lakin pia nipate nafas ya kumuwaza yule mkaka. Kiukwel siku ile nipo kwenye haice namuwaza sana yule kaka nikikumbuka alivo handsome yan ndo mawazo yanazidi zaidi. ugonjwa wangu mimi ulikuaga wanaume warefu, weusi , sasa yule akawa kaongezea na sura yake ilikua nzuri ndo nilizd kuchanganyikiwa.

Basi zikapita kama siku kadhaa huku bado likizo inaendelea, na kujisomea kama kawaida, sasa wakat tunatoka library carin akanambia zack anataka tukahang out nae leo kwahyo amesema tumsubiri nyerere square pale, kipind hiko ndo sehemu maarafu ya watu kukutana n hapo, huku nikiwa namsubiri kwa hamu nimuone kwa mara ingine tena, nikawa naangaza huku na kule nione anatokea upande gani, kwa mbali nikamuona anakuja, alivofika tuu akakaa katikati yetu. Tukasalimiana na kupiga story ila kuna mda carin alinyanyuka kwenda kufata maji , ndipo zack akaomba namba yangu kwa haraka sana nikampatia, hatukukaa square pale mda mrefu tukaondoka.

Nimefika tuu nyumban nikakuta kanitext na akitaka kujua account yangu ya facebook ili apate picha zangu, na mm nikamuomba yake. Tukawa tunachat meng na kusifiana sana. Siku iliyofata akaomba nisiongozane na carin yan niachane nae mapema then tukutane zuni ( kwa wa dodoma wanapajua) tukakutana pale lakin hakua na hela ya kuagiza chochote , nikaagiza juice mbili za ukwaju zilikua , tukakaa tunakunywa huku tukipiga story za hapa na pale, mara tusifiane una mikono mizur cjui nimeipenda bracelet yako tukabadilishana.

Mazoea yakazd sana, tukawa tunaongozana sana pamoja. Kuna siku tukawa tumekutana sehemu flan tulivu tukiwa wenyewe tuu sehemu ile akawa kanisogelea kwa karibu sana, akanishika na kunipa kiss moja la hatar ,tulipiga romance kama dakika 15 hv, tulikuja kushtuka baada ya simu yake kupigwa. Alikua na appointment mahali, tukaanza safar ya kuondoka lakini tukiwa njian nikamuuliza " hv mfano Rah akitokea hapa utafanyaje na tumeshikana mikono hivi, na yy akaniuliza kend akitokea utafanya nn?" Tukabak tunacheka tuu

Ngoja nirud nyuma kidogo, kabla ya kukutana na zack nilikua na mpnz anaitwa Kendrick, lakin huyo alikua tuu wa kuitana mchumba mchumba na kukisiana lakin hakuwa amewah kunif**k. Alikua ni jiran yangu tulikua tunashare fanc moja yani na nilianzaga nae mahusiano nikiwa form three, huku bado nikiwa shule nina mpnz mwingine (G) nae pia hata kukiss hatukuwah. Lakin wakati nipo form four niliachana na G kwasababu ya mtu mwingine tena alikua amehamia form four. Ilikua n asubuh zamu yangu kufagia darasa , wakat niko busy nafagia zangu akaingia mkaka mzur sana alikua na karang flan hiv sio mweupe wala mweusi. Tukakutana macho kwa macho akaniuliza " hii ndo form four A?" Nikamjibu ndio, akauliza mahali ambapo anaweza kupata nafas akae.

Nikamwambia after assemble utajua tuu, bas akaondoka , sasa mm nikarud kumuadisia rafk angu kwamba kuna new comer handsome bala a, after assemble class teacher akaja kumtambulisha na kumpatia sehemu ya kukaa, bas baada ya muda nikasikiaga anatoka na mdada na huyo dada ndo alianza kumtongoza , lakin huku nyuma huyo kaka alikua anawaambia wenzie kwamba alinipenda mm tangu siku ameniona, ikafika muda akazinguanaga na yule mdada akajaga kwangu na mm that time nilikua bado nipo na G , ila niliposikia ananipenda mm G nikampiga chini kwa kumsingizia kuwa nilimuona na mtu flan usiku wanakumbatiana( hahaah utoto bhn!).

Bas nikaanza mahusiano na B, kwakua alikua mzur bas wadada weng walikua wakijipendekeza kwake na yeye hawaachi salama. Tukirud likizo unasikia tuu B kamla nan na nan, lakn mm hapo hapa kiss la mkonon sikuwah kupewa coz nilikua kwanza muoga sana especially kwenye mambo ya mahusiano so hata akinambia tuongozane usiku had library tunakosomea nilikua nikikataa , so alikua anawafata wale cheap, siku niliyokuja kujua kuwa B n mtoto wa mbunge flan hivi wakati huo nilishangaa sana na hakua amewahi kunambia chchte. Na watu wakaanza kujua so ndo umaarufu wake ukaongezeka na wasichana akawa anawagonga sana, nilikua naumia snaaa coz nilikuwa nampenda mnooo, Bas hadi kufikia kumaliza form four tukawa tumeachana kabisaa.

Inaendelea...
 
Jinsi ninavotamani siku zirudi nyuma niyafute haya.....

Episode 2.

Tukirud kwa zack sasa, tukafunguaga shule then likizo iliyofata nikiwa tayar niko form six tukawaga tumepanga tupelekane favorite place ambayo kila mtu anapenda kwenda, sikujua ulikua mtego wa mimi kwenda kuliwa aisee!.Basi akasema tutaanza na yeye ila kama navojua hela hana kwahiyo nitafute kama elfu 30 hivi. Kipind hiko nilikua nasoma tuition ada ilikua kama elfu 30 hv lakin mimi nikasema nyumban ni elfu 70, so siku niliyopewa hiyo hela ndo siku niliyopelekwa lodge flani hivi kule nkuhungu, kwanza nilivoona tuu tunaelekea yale maeneo nikasema leo ndo leo. So sikutaka kuuliza kitu chochote.

Tukafika hadi room, tukawa tunapiga story kama lisaa limojaaa, siku hiyo sikwenda tuition kabisaa, yani asubuh tulikua tuko pale , lakin pia nilimuuliza kuhusu yy na Rah akanambia washaachana ndomana yuko na mm, so nikawa na amani kabisa. Basi baada ya mda tukaanza kukiss, romance tulipiga mda mrefu sanaaa, akaanza kunichezea viungo vya mwili , huku akipitisha ulimi wake sehemu za kifua hadi akafika chini, nilijikuta napata raha ambayo hadi machoz yalikua yananitokaaa, alifanya hivo kwa mda mrefu huku mimi nikiwa natetemeka kama nimeshikwa na baridi kali sana, ikafika ile hatua ya yeye kuchomeka dude, hapo ndo ule utamu niliokua nasikia ukaanza kuwa mchungu , had nikamwambia " fanya kama ulivofanya mwanzo" akanambia sasa na mimi nitaridhikaje? So nikamwacha aendelee na lile zoezi huku nikiwa kama nampush , kitu ikaingia aiseee ilikua inaumaaaa balaaaa, lakini hakukua na damu yoyote tulipomaliza mchezo pale kwenye shuka , akaniuliza kwani ulikua bikra? Nikwambia ndio hakusema chochote. Nikainuka na kwenda kujisafisha, lakini chooni nilitoa ute ulikua na damu so mimi nkawa najua kuwa huyu ndo kanitoa bikra lakini yy hakuwa anaamini hivo since hakuona damu kwenye shuka.

Baada ya hapo tukaachana nikarud nyumban maana mda ulikua umeenda. Sasa kufika nyumbani tukiwa tunachat akagusia tena maswala ya kwamba kwel nilikua bikra?, nikamuuliza kwanini unaniuliza kuhusu hilo, akanambia sikuona damu yoyote , nikamwambia mimi niliona wakat nimeenda kujisafisha , hapo akaanza kunitumia sms za kunitukana "acha ushamba kama huna bikra si unasema tuu , kuliko kujifanya una bikra kumbe huna, so mm nikabak nashangaa na wakumuuliza sikua najua namuuliza nani. So from there tukawa hatuna mawasiliano mazuri. Kuna siku nikiwa nipo mahali nawasubiri wenzangu watoke tuition wanipe madaftar nikaandike , akanitext anataka anione aniage anahama dodoma kabisa anarud moro, kwel akaja pale akanitania tania tukapiga story kishikaji sana then akaniaga , so wakati anaondoka nilimsindikiza kwa macho hadi alipoishia huku machoz yakinitoka, nililia sana ile siku.Tulivofunguaga shule nikaamuliza carin hivi Rah na Zack bado n wapenz?, akanijibu ndioo na mara ya mwsho Kabla ya kwenda moro walishinda wote kwa Rah , ikabidi nifunguke kwa Carin yotee kasoro mambo ya bikira, akanambia huyo kakudanganya hata hawajaachana mbona, bas nikabak na maumivu meng snaaaaa, yan nilijutia vtu vingi sana maana n mtu ambae nilimpenda sanaaa jinsi alivo bila kuangalia hakua na chchte cha kunpa lakini nilimpenda kiasi cha kufunga na kuomba kwaajili ya mambo yake yaende sawa.

Likizo ingine ikafikaga, basi tukawaga tunachat tuu na zack hivo kama washikaji , akawa ananiambia kanimiss sjui na kama nilindanganya kuhusu mm kuwa bikra bas amenisamehe, so penzi likarud na nikaendaga moro kufata chet changu ndipo ikawa mara ya pili kuhave nae sex, it was nice as usual nilikua nikisex nae kwanza lazima anilambe na kuninyonya huko chin na nilikua nikienjoy sanaaaa, sasa nikiwa nimerud dom , kuna siku Rah akanitafuta akilalamika nimemwibia mchumba ake , alikua analalamika sana na kiukwel ile situation iliniumiza piaa, so nikamwomba zack tuachane tuu arud kwa Rah lakin zack alikataaa, na akamtumia sms Rah kwamba ananipenda mimi na sio yeye, bas ikabd dada wa watu akubali tuuu na kunipa maneno ya busara kwamba nimpende, nimjali na maneno mwngine lakin sikua na aman kabisaaa.

Bas zack akajaga kurud dom, the last sex we had nilienda kumtembelea maghetton ,that day alikua na friend zake tukapika wali samak , tukala tukacheza karata sanaaaa, yan we had moment nzur sana, lakin moment iliharibika baada ya kushika simu yangu na kukuta text za wanaume kama watatu tofauti lakin wale walikua ambao hata kukiss pia hatuwahi na alikuta za kend pia wakat nilimwambia nishaachana nae , kusema ukwel kumuacha kend ilikua ngumu sana coz alikua mtu ananipenda had naogopa , ananijal sana had akaamuaga aache chuo , aende jeshini ili mpaka nifike chuo aweze kunihudumia zaidi ,hiyo siku ambayo nilimuona zack kakasirika ndo siku niliyoamua kuachana na hao wanaume wengine niliwatumia tuu sms ya kuachana lakin kend hakukubali kabisa, alipiga simu huku akiwa analia na kuniuliza amekosea wap au uamuz wake wa kwenda jeshi alikosea, nilimjibu bila hata kuwa na huruma " nimempata mwingine na nampenda kuliko wewe" , nilisikia akilia kutokea kwenye speaker za simu moyo uliniuma lakin nikasema potelea mbali .Basi shule zikaja kufunguliwa and nikawa sina likizo nyingin zaid ya kusubr kumaliza tuuu shule.

Naomba nisimulie maisha zack kidg ili tuende sawa episode inayofata. Zack alikuaga kijana ambae anaishi tuu maghetton anashare had nguo za wenzie, hana mishe yyte mjini, Mama ake alivofariki ndo maisha yao yalibadilika snaa alikua n mtt wa mwsho kat ya watt watatu na wakiume peke yake, kwahivo dada zake waliolewa na wakawa hata hawajihusishi nae , so mm nilikua nampiga tafu sana vihela vinguo sometimes coz mm kwetu kidg kauwezo kalikuepo yani, sasa nakumbuka ilikuaga siku ya gradu marafiki zake ambao tulispend nao ile siku wakaja pia, kuna mmoja kuniona tuuu akaniita , tukawa tunapiga story , nikamuuliza zack yukwap? , ndo akaanza kunambia mshikaji alichokifanya sio sawaaa, ameniibia ada yangu ilikua laki nane ya chuo halaf akaondoka nazo kaenda nazo nairob( maana alishawah kuishi huko enzi za uhai wa mama yake, so alikua anapafahamu vizur) na sahv yuko South ,,nikabak nashangaaa coz zack niliemjua mm yuko very humble, akaniambiaga pia kwanza anademu wake mwingine anaitwa neema tangu school ndo mwanamke anampenda ww alikua anakudanganya tuu. Niliumia sanaaa kwakweel huku nikisubiri nimalize shule nije nimuulize mwenyewe .

Siku zikaenda nikafanya mitihani nikamaliza, nilivofika tuu nyumban , ni kutafuta simu na kumtafuta ,,lakini namba yake haikua inapatikana hivo ikabidi niingie FB messenger nimtext huko. Kweli nikaingia FB nikaanza kubrowse kwenye account yake nikakuta kampost mdada kaandika "mimi na wewe hadi kufa , nakupenda neema", niliishiwa nguvu nikashindwa nilie au nicheke, nikawaza moja kwa moja niingie messenger , nikamtext nikimuuliza kuhusu ile post hakuja kujibu chchte na alizisoma zile text nikauliza kama mara tatu hvi lakin alisoma tuu , so from there sikuhangaika nae tena na yeye wala hakunitafuta . sikutaman tena mapenzi wala kuyataka nikahisi ilikua n hukumu ya kend kwa niliyoyafanya.


Itaendeleaaaaaa........
 
Episode 1.

Nikiwa bado binti mdogo ambae hata bado sikua nimewahi kushare kitanda na mwanaume, nilikua nipo form five nikiwa likizo nilikua napenda kwenda library ya mkoa pale dodoma kujisomea na rafiki angu (carin), siku moja tukiwa tunatoka kujisomea carin alikua na appointment na rafiki ake (Rah), wakati tunatoka pale library kwa mbali nikamuona mkaka handsome nae akiwa ananiangalia sana (tunaangaliana) lakini pemben alikua yuko na mdada, kumbe yule mdada alikua rah na huyo kaka n boyfriend wake.

Huku nikiwa bado tunatazamana had tulivowakaribia ndo nikaona wanapungiana mikono nikasema ndo hawa kumbe, basi tukasilimiana na kutambulishana hapo, ikabid mimi nifanye kuaga maana sikua na story nao lakin pia nipate nafas ya kumuwaza yule mkaka. Kiukwel siku ile nipo kwenye haice namuwaza sana yule kaka nikikumbuka alivo handsome yan ndo mawazo yanazidi zaidi.
Haya tunasubiri mwendelezo....

Ila wanawake mnashangaza sn asee..karibia kila mwanamke utamsikia "Mimi napenda mwanaume awe tall,dark colour na handsome face.

Siku ukutane na huyo mwanaume wake wa ndiyo yake ndy unachoka...unajiuliza mbona huyu jamaa Ake Sura km yangu hii ya tafadhali nipigie?😅
ugonjwa wangu mimi ulikuaga wanaume warefu, weusi , sasa yule akawa kaongezea na sura yake ilikua nzuri ndo nilizd kuchanganyikiwa.

Inaendelea.,.......................
 
Haya tunasubiri mwendelezo....

Ila wanawake mnashangaza sn asee..karibia kila mwanamke utamsikia "Mimi napenda mwanaume awe tall,dark colour na handsome face.

Siku ukutane na huyo mwanaume wake wa ndiyo yake ndy unachoka...unajiuliza mbona huyu jamaa Ake Sura km yangu hii ya tafadhali nipigie?
Ndio inavyokua unaemtaka hana mpango usiowataka ndio wanapatikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom