Huyu mwanajeshi ananichanganya

Huyu mwanajeshi ananichanganya

Mkuu unasema kweliii.....??

hahahaa! Usiwaone wanavyotembea kikakamavu.
Sio wote lakn ila % kubwa wanaonewa sana...

Hakuna mtu mgum kwenye papuchi mkuu.

Hebu msome historia ya Adolf Hitler na ubabe wake lakn kwenye papuchi alikuwa kiazi tu
 
hahahaa! Usiwaone wanavyotembea kikakamavu.
Sio wote lakn ila % kubwa wanaonewa sana...

Hakuna mtu mgum kwenye papuchi mkuu.

Hebu msome historia ya Adolf Hitler na ubabe wake lakn kwenye papuchi alikuwa kiazi tu
Inwezekana mkuu....
 
Huyu loyda ninaona ana kaugonjwa cha kujielewa au utoto unamsumbua maana ukisoma thread zake zote unaona anaomba ushauri kwa mambo ambayo anaweza kufanya mwenyewe....

Pia ndani ya miezi 3 tu kashaongelea wanaume watatu tofauti ambapo kuna mbabu aliyempa laki 3 (akaliwa nae kwa gia ya ulokole) saa hivi tena soon ataliwa na mpemba... Sijajua kama huyo mchumba anayemzungumzia sasa ndio yule yule wa mwezi wa 8 wakati analiwa na yule babu wa miaka 55+ yrs

Alafu babu sijui keshaokoka?!! Maana yaonyesha kama alikuwa anasubiria mzigo kama mlango wa kuingilia kwenye wokovu!
 
Last edited by a moderator:
kuna wengne mpaka wanapigishwa deki na wake zao.

Na ukiona yale makatili na yaliyo serious ndio hayohayo

Ndio unataka kusema mtu kama mzee wa intelejensia anaweza kuwa midaa hii anapiga deki mjengoni
 
Meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...!!!!!!....amazing.....

Simaanishi wewe kiongozi,! Kuna wimbo dogo mmoja wa USA ni rapper anaitwa soja boy telling so, ana wimbo wake mmoja huwa anapenda ongezea neno 'youuuuuuuuuuuuuuu'! Sasa mimi nimeona hapo, nikaendelea na wimbo wake!
 
Simaanishi wewe! Kuna wimbo dogo mmoja wa USA ni rapper anaitwa soja boy telling so, ana wimbo wake mmoja huwa anapenda ongezea neno 'youuuuuuuuuuuuuuu'! Sasa mimi nimeona hapo, nikaendelea na wimbo wake!

Nilijua tayari nimedondokewa.....
 
Dah! hiyo inaitwa makavu laivu kwa mtoa maada ila wapo wengi wanawake wa aina hii, unapata mpenzi halafu unaanza kumlinganisha na ex wako mwisho wa siku unaona kama anapwaya hata kwa uliyekuwa naye unaendelea mbele, mwisho wa siku unakuta umepitiwa na contena zima la wanaume
 
ngoja akufanye mafungu ya nyanya alafu ndo utajua hahahah kujali kwani shingapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom