Huyu mwanajeshi ananichanganya

Huyu mwanajeshi ananichanganya

... loyda..ni shida...
ana visa. lukuki..
[h=3]Nimeshuhudia shem akisaliti[/h] Started by loyda, 6th July 2014 15:45
[h=3]Nifanyeje kuhusu ili?[/h] Started by loyda, 8th July 2014 18:37

[h=3]Hii ipoje wapendwa[/h] Started by loyda, 23rd July 2014 09:01

[h=3]Nisaidieni wakuu hapa nimevurugika[/h] Started by loyda, 23rd August 2014 14:35
[h=3]Wadada wenzangu kama ni wewe unakutana na hali hii unaimalizaje?[/h] Started by loyda, 15th October 2014 16:54
[h=3]Sina raha baada ya ku-misplace Ipad niliyopewa zawadi na mpenzi wangu[/h] Started by loyda, 28th October 2014 13:06
Huyu ana tu enjoy yy kila siku visa tu
 
yani siku mbili tu unaona bora umwache jamaa yako kwa ajili ya poti¿¿ Umepotea ww...unawajua mapoti au unawasikia¿
 
Kutokana na mfululizo Wa thread unazoziletega...itakuwa unaumwa ugojwa Wa ANXIETY.. tafuta tiba
 
Mtoto loyda ushafika Dubai weye? Nna ticket za watu wawili go and return twende tukalu bata ukirudi na kununulia murano uendee kazini.
 
Be careful with stones at the first sight, they look like gold sometimes!!!!
 
Habari wana MMU

Msishangae naandika nini hapa bado nipo kitandani najivuta kuamka nikatafute ulaji Lakini usiku wangu haukuwa mzuri kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana nae ni kama mwezi kiukweli nikwamba anadai ananipenda sana lakini nilimwambia nina mchumba anadai yupo tayari kwa lolote ili mradi nije kuwa mkewe.

Mwanzo sikuwa hata na mawazo naye ila siku mbili hizi nmejikuta nampenda sana hata usiku silali namuwaza hadi basi.

Anaonesha anajali kuliko mchumba Wangu

Hapa nipo njia panda
Nipeni mawazo yenu wakuu


Ameshakuchomea Jadu huyo, sio akili yako....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom