Huyu mwanajeshi ananichanganya

Huyu mwanajeshi ananichanganya

hawa watu bhana wapo kwaajili ya kutoa huduma ya kimwili kwa wagonjwa.
Jinsi anavyokuwa na huruma kwa mgonjwa wake ndivyo hvyo anavyokuwa na huruma kwa mwanaume anayemtaka.

Japo sio wote lakin wengi mazingira yanawashawishi. Nurse hawezi kuchomoka kutoka kwa watu hawa.
. Doctor
. Wagonjwa wakwale
. Wanaouguza wagonjwa wao, hawa hutumia ule mwanya wa kumweka nurse karibu na mgonjwa wake na kumpa virushwa vidogo hapo nurse lazma atoe namba ya sim.

Sio kwamba naongea tetesi ila nina uhakika na ninachoongea. Nurse na baamed hakuna utofauti

Naunga mkono kabisaaaa. Hii ni kutokana na jamaa yangu, alilazwa na nilikuwa naenda muona na kumpelekea chakula. Katongoza manesi wawili na kagonga kwa mida tofauti baada ya kutoka. Sijajua kwa hosptali zingine iko vipi, ila ninahisi ni hospitali nyingi tu mwendo ndo huu.
 
MBNA unanchukulia poa msee? Kama huna ushauri syo lazma uandike upmbav wako hapa sipo after money nda ulivyokariri am taking about relationship!

Kumbe upeo wako mdogo, huo ni mfano co km wewe ndo inapokea hizo pesa, ni njia tu alikua anataka umuelewe. kifupi unaonekana huwajui wanaume vzr, na cha muhimu kaa nampnz wako mweleze unachomc toka kwake labd ni prika za maisha znachangia. Otheryz tutakupitia wengi,c wengine ni matapeli wa mapenz
 
"Anaonesha anajari"

Sisi wanaume huwa tunajua sana kujari kabla ya kupata yale mambo yetu. We mpe tu ndio utajua kati yake na huyo wa sasa hivi nani anajua "kujari"

Aiseee umeongea ukweli uliotukuka akishapigwa mambo hata simu yake hataiona hadi amuanze yeye
 
aise sikushauri kumwacha mchumba wako awali ni awali tena acha kabisa wazo hilo wanaume siku za mwanzo loh utasema labda nimepata ngoja azoee utajuta
 
... loyda..ni shida...
ana visa. lukuki..
Nimeshuhudia shem akisaliti

Started by loyda, 6th July 2014 15:45
Nifanyeje kuhusu ili?

Started by loyda, 8th July 2014 18:37

Hii ipoje wapendwa

Started by loyda, 23rd July 2014 09:01

Nisaidieni wakuu hapa nimevurugika

Started by loyda, 23rd August 2014 14:35
Wadada wenzangu kama ni wewe unakutana na hali hii unaimalizaje?

Started by loyda, 15th October 2014 16:54
Sina raha baada ya ku-misplace Ipad niliyopewa zawadi na mpenzi wangu

Started by loyda, 28th October 2014 13:06

Huyu loyda ninaona ana kaugonjwa cha kujielewa au utoto unamsumbua maana ukisoma thread zake zote unaona anaomba ushauri kwa mambo ambayo anaweza kufanya mwenyewe....

Pia ndani ya miezi 3 tu kashaongelea wanaume watatu tofauti ambapo kuna mbabu aliyempa laki 3 (akaliwa nae kwa gia ya ulokole) saa hivi tena soon ataliwa na mpemba... Sijajua kama huyo mchumba anayemzungumzia sasa ndio yule yule wa mwezi wa 8 wakati analiwa na yule babu wa miaka 55+ yrs
 
Last edited by a moderator:
Habari wana MMU

Msishangae naandika nini hapa bado nipo kitandani najivuta kuamka nikatafute ulaji Lakini usiku wangu haukuwa mzuri kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana nae ni kama mwezi kiukweli nikwamba anadai ananipenda sana lakini nilimwambia nina mchumba anadai yupo tayari kwa lolote ili mradi nije kuwa mkewe.

Mwanzo sikuwa hata na mawazo naye ila siku mbili hizi nmejikuta nampenda sana hata usiku silali namuwaza hadi basi.

Anaonesha anajali kuliko mchumba Wangu

Hapa nipo njia panda
Nipeni mawazo yenu wakuu

Anajali kuliko mchumba yupi?

~Yule anayekupa lifti ya kwenda kazini na kurudi nyumbani?

~Au yule anayefuja pesa kwa vitu vya ovyo?

~Au yule "babu" aliyekutumia lunch ya laki tatu na nusu?

~Au yule aliyekununulia Ipad ya $900?

Na huyu kakufanyia nini ili tuelewe kuwa anajali kuliko hao wengine?

Au kombati zake ndo zimekuchanganya?

majibu pliz.
 
Naunga mkono kabisaaaa. Hii ni kutokana na jamaa yangu, alilazwa na nilikuwa naenda muona na kumpelekea chakula. Katongoza manesi wawili na kagonga kwa mida tofauti baada ya kutoka. Sijajua kwa hosptali zingine iko vipi, ila ninahisi ni hospitali nyingi tu mwendo ndo huu.

yaan ukitaka kummaliza nurse ukiwa na mgonjwa wako ww mfuate kama yupo zam mpe majukum ya ziada ya kumcare mgonjwa wako na mtoe vijisent kidogo, halafu ile anabadilisha shift mpe appointment muonane maeneo umtoe out kidogo kwa kaz nzur ya kumhudumia ndg yako hapo tayar unamvua kyupi kilaiiin.

Kama ww ndio mgonjwa mwite mwombe msaada wa kukuangalia mara kwa mara halafu fungua wallet kidogo halafu ukipona mwandalie hafla fupi ya shukran kwa kukuuguza hapo tayar..

Bado huko kwa dr wake sasa
 
lazima siku mbili hizi uanze kumpenda sikakutamkiq kukuoa. hiyo ni kawaida ya mwanaume yeyote ukimsumbua kidogo anakuja ja wazo atakuoa anaanza kabisa kuchagua ukumbi wa harusi hoteli ya honeeeeemun mpe mzigo hata ukimuita mpenz atakujibu we dada usiseme hivyo mke/mchumba wangu akiina huzi sms zako utaniharibia

Mkuu wengine walishapanga vile wanataka harusi yao iwe + kugoogle engagment ring wanayoitaka hahahaaa mtu unacheki simu kwa picha ni rings zimejaa unauliza kulikoni... Ati anachagua ipi ni new model and unique apate kuitengeneza ..... Chezea mwanaume wew kumbe ana mke wake huko alikotoka kwa huyu binti alikuwa anapiga mambo tyu hahahaaaa ni shidaaaa huku kujali huku tunakuogopa
 
kwanza mwanaume anayekutongoza nakusema anakuoa ujue hamaanishi 200% huwa anakutongoza muwe wapenzi kwanza ndo alete mada zakuoana akisha jiridhishq na tabiq zako ina maana mtoa mada hili hulijui au una hamu yakudanganywa nawewe uweke historia au
 
Umechanganywa na riafande Pole

kwa ufupi achana nae huyo Afande wana Visa hawa
 
kwanza mwanaume anayekutongoza nakusema anakuoa ujue hamaanishi 200% huwa anakutongoza muwe wapenzi kwanza ndo alete mada zakuoana akisha jiridhishq na tabiq zako ina maana mtoa mada hili hulijui au una hamu yakudanganywa nawewe uweke historia au

Ukifuatilia thread zake utagundua kuwa ashaweka historia ya vitimbwi maana duuu ni shida
 
Habari wana MMU

Msishangae naandika nini hapa bado nipo kitandani najivuta kuamka nikatafute ulaji Lakini usiku wangu haukuwa mzuri kifupi kuna kijana mmoja ni mwanajeshi mzanzibar,nmefahamiana nae ni kama mwezi kiukweli nikwamba anadai ananipenda sana lakini nilimwambia nina mchumba anadai yupo tayari kwa lolote ili mradi nije kuwa mkewe.

Mwanzo sikuwa hata na mawazo naye ila siku mbili hizi nmejikuta nampenda sana hata usiku silali namuwaza hadi basi.

Anaonesha anajali kuliko mchumba Wangu

Hapa nipo njia panda
Nipeni mawazo yenu wakuu

Yani mpaka hapo ulipofika inaonyesha wazi akiliyako niyakushikiwa,humpendi huyo ulokua nae wala humpendi huyo Mzanzibari,hujui kupenda wala hujui thamani ya anaekupenda,unakosa usingizi kwa maneno tuuuu? weka akili yako sawa mrembo sio kila anae kutongoza sio kua anakupenda...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom