Kwanza sio lazima kila upumbavu wako uuweke hapa kila siku, JF sio yako hivo sio lazima upost!!
Anyway, mchumba ni mtu mliyechunguzana naye wakati wa u-mpenzi na mkaridhiana kuwa muingie steji ya maandalizi ya ndoa. Kutambulishana kwa ndugu jamaa na marafiki ndo wakati wake. Kufahamiaka kwa familia zenu na koo zenu ndo jadi yake.
Sasa unashangaza kama upo kwenye uchumba seriously then unaanza mawazo ya kudate na mvulana mwingine tena umeonana naye mwezi tuu yaani hamfahamiani, huo ni sawa na umalaya. Either unatutania au huna mapenz ya dhati mwambie jamaa ili ujipange kutafuta tena mchumba ili ukianza na huyo mjeshi usije kumpa jamaa maradhi au hata kumkosea bure!!
Ila kuwa makini naskiaga watu wa pande zile wanakula t*go.. Kwakweli utaharibikiwa hadi hiyo b*kra ya mwisho, utabaki kila mlango unapwaya.. Usije kulalamika wanaume wadanganyifu tena hapa coz umependwa hujapendeka..