Nimeona nimpe maua yake Goodluck Paul wa Azam

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
5,265
9,394
Huyu jamaa mtangazaji wa Azam tv hasa katika habari na mijadala ya kidiplomasia yuko vizuri sana kiutangazaji
Nimeona nimpe maua yake akiwa hai jamaa anajua kuhoji kwa utulivu na kumpa nafasi muhojiwa kujieleza au kujibu pasi na uoga
Bila shaka atakuwa amesoma SAUT chuo Cha mwanahabari nguli Gentanyahu
 
Wahaya mnapenda sifa sana

USSR
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom