Huyu Mpoki vipi jamani?

Huyu Mpoki vipi jamani?

mpoki alinichekesha mwanzo mwisho isipokuwa pale alipotoa kauli iliyoashiria unyanyapaa dhidi ya wenye VVU. Vinginevyo alikuwa anafanya kazi yake ya u-mc katika mfumo wa vichekesho na aliifanya vizuri sana. Heko kwa waandaaji wa ubunifu huo.
 


Me nadhani watanzania hatujazoe COMEDY huwa zikoje lazima sasa comedy zije kwenye daily life yetu na uanapaswa kujitambua kwa hilo ukiwa uanaona shyyyyy then wewe ndio mwenye tatizo pale palikuwa ni zawadi kwa wasanii nao ndio wanatupa usanii piana sio mbya mpoki nae kututumbuiza na COMEDY zake. Hivi ukisikia COMEDY za wenzetu huko West africa America, hapo kenya tuyuu Jamani mwependa nuna nuna sana eeee
Tumezoea mambo ya chobingo hata tukiambiwa ki-comedy comedy tuna-mind wakati yote hayo yapo mtaani
 
Aliwaambia wacheza show: kwani msipokua weupe hamwezi kukata hivyo viuno? Lundenga aliambiwa kua ni jamaa anayejua tabia za wanawake wengi zaidi, Diamond anatafuta kiki kwa kuvaa kisket, Kadinda ni mtu wa kutupia kila kitu insta ila hajawahi tupia akiwa anakula Mihogo!, wasanii wa mashauzi wakitoa mekapu asubuhi unawaamkia, Mashauzi ana kiuno kigumu kama jiwe! Ukweli alikua anaboa sana.
 
lakin hakuongea kitu kibaya wala cha uongo
 
hiyo ya dada anayefaa kwa matumizi ya binadamu ilikuwa udhalilishaji wa hali ya juu.
 
so you have right to stop others to air their views?
Halafu ingependeza zaidi ungeandika " kwa hiyo unayo haki ya kuzuia wengine kutoa mawazo yao " hayo mengine sijui AIR THEIR VIEWS waachie mwenyewe kina ngoswe .ni mtazamo tu usinitoe roho
 
Kwa hiyo watu wakitukanwa wewe ndiyo umetekenywa

mpoki alikuwa aawaweka watu sawa waache ushamba wao. hebu fikiria yule mdada hata jinale simjui kaingia na kiswanglishi chake paleeee ah! mpoki nae hakumlazia damu akampa zake... kumbe ni mparreee!!! wa kuleee... me nilidhania ni katoka ulaya kumbeee paree loh!! MPOKI NDIO DAWA YA MABISHOO. tena next time itabidi wamuite na JOTI waungane ndio itanoga sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom