MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,510
nihadithieni ilikuaje jaman huku hakuna umeme wala sola mweh nmekosa utamuuu!!
UMEKOSA niniiiii!!!!???? UTA.... MUUUUU????
nihadithieni ilikuaje jaman huku hakuna umeme wala sola mweh nmekosa utamuuu!!
Hivi kama mc angekuwa yule dada peke yake na mpoki asingekuwepo pangekuwa vizuri kweli,
Nilishamtumia ujumbe kwamba,maneno yake yatakuja kumgarimu one day awe makini sana
vipi una passport nikukatie tiketi?