Gwankaja Gwakilingo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 1,996
- 617
Naomba matokeo ya T. Stars na Angola?
Matokeo ya mwaka gani?
Naomba matokeo ya T. Stars na Angola?
Matokeo ya mwaka gani?
Mmmh! natamani niende Brazil.....
Waadaaji wa tuzo walipotoka sana; badala ya kumuita msanii mshereheshaji wao wakaangukia kwa msanii mropokaji hovyo; mpoki ni kesi ya Mirembe hospitali yule! hakika aliembarass watu wengi sana mpaka hata wengine ambao hawakuwepo ukumbini kwa kuhofia atakachomropokea mtu!.
halijui kwamba watu wengine wako sensitive sana haswa kwenye public kama pale! sio kila mtu ni kamikaze au Al shabab kama lenyewe; watu wengi wanapenda kusitiriwa hadharani hata kama wanajua wana makosa fulani fulani!
Organisers wa Kili music awards; angalieni sana hiyo gaffe, mwaweza kuishia mahakamani na kulipa damages next time around
Hiyo ndio inawajenga ku-handle critics za fani wao uzuri jamaa alizotoa ki-comedy comedyWaadaaji wa tuzo walipotoka sana; badala ya kumuita msanii mshereheshaji wao wakaangukia kwa msanii mropokaji hovyo; mpoki ni kesi ya Mirembe hospitali yule! hakika aliembarass watu wengi sana mpaka hata wengine ambao hawakuwepo ukumbini kwa kuhofia atakachomropokea mtu!.
halijui kwamba watu wengine wako sensitive sana haswa kwenye public kama pale! sio kila mtu ni kamikaze au Al shabab kama lenyewe; watu wengi wanapenda kusitiriwa hadharani hata kama wanajua wana makosa fulani fulani!
Organisers wa Kili music awards; angalieni sana hiyo gaffe, mwaweza kuishia mahakamani na kulipa damages next time around
mie alikuwa ananichekesha sana............
Nilishamtumia ujumbe kwamba,maneno yake yatakuja kumgarimu one day awe makini sana
we nae rwegoshora nn..
Jamaa juzi siku ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards alikuwa kama vile anatania lakini vile vile alikuwa anaboa sana, hata kama ni msanii hapana alikuwa too much,
Alimwambia mama mmoja kuwa "Anafaa kwa matumizi ya binadamu"
Then akamwambia wema sepetu "Alinyangw'anywa penzi na akalirudisha"
Alipokuja RAY, kama vile Ray alianza kupatwa na wasi wasi sana asijue mpoki atasema nini juu yake, jamaa akamchana kuwa "Kuna maneno mtaani kuwa umeachana na Johari"....RAY alionekana kuogopa sana jamaa asiendelee kumchana.
Akaja Hashim Lundenga "Mpoki alimchana indirect, kuwa ni mtu aliyeweza kuvumbua vipaji vya wasichana....alitaka kutamka jambo hapa yule dada akamuwahi...
Alipokuja LULU Michael...hapa aliona aibu kidogo, hata mimi nilikuwa nasali sana asiropoke jambo lolote kuhusu Lulu....
Kwa hiyo watu wakitukanwa wewe ndiyo umetekenywa
Halafu ingependeza zaidi ungeandika " kwa hiyo unayo haki ya kuzuia wengine kutoa mawazo yao " hayo mengine sijui AIR THEIR VIEWS waachie mwenyewe kina ngoswe .ni mtazamo tu usinitoe roho
sasa ww mrembo baby ake kama hukuepo ukumbini piga kimya,utani wake ni wa ukweli halafu unauma sana kwa mtu ambae si mlengwa unachekelea unaona burudani hujaona timu ya meneja wa wema ilivyomchukulia ujue mtu kujizuia imemuuma,halaf ishtoshe dada angu hapa mjini hapa ujue hilo.