Si ndo huyo sasa ntakae enda naye
Mimi sio siri nilifurahia sana uwepo wa Mpoki nilijua nitacheka tu na kweli hakuniangusha,mimi kosa nililoliona alifanya ni moja tu ile ishu ya HIV,haitakiwi kabisa kufanya utani kwenye hii kitu coz ukifanya hivyo hakika unawaumiza wengi,hapo naamini aliteleza tu na hatorudia tena.Kwingine kote alikuwa poa,yule ni mtu wa comedy so alichokifanya ndicho nilichotarajia,mi huwa naangalia sana BET so sishangai hilo,kinachowafanya watu mmind labda ni utani wake kushabihiana na ukweli.Eti mtu unamind Mchomvu kuambiwa mrefu kama mkojo nini cha ajabu hapo?Mchomvu mwenyewe ndio bingwa wa kuropoka redioni na utani kwa sana,ntashangaa kama atamind kuambiwa hivyo
naomba matokeo ya t. Stars na angola?
ukishaenda nae tayari anakua mpenzi
Heaven on earth i respect you so much toka lini umeanza kujfunza uongoI never said so.........
hujambo my dear
mzushi mbona wanizushia mambo....... ni wapi nimedanganyaHeaven on earth i respect you so much toka lini umeanza kujfunza uongo
sijambo nimekumisijeeee
Ndio. Mpenzi inatokana na Mapenzi
mie nipo nimejaa tele ka pishi la ubwabwa
mie nipo nimejaa tele ka pishi la ubwabwa
Kwa hio hadi mtandao unatoa?
Tigo au Airtel???????????
asitoe kwasababu ipi
Si wewe ndiye uliyesema mpoki alikukuna sana wakati anavulumisha mitusi kwa watu sasa nikusingizie nini dada yangu