Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
Ki ukweli hata mimi aliniboa sanaa, that was more than too much!
hahahaha mpe nauli
Acha ubabe.
Nina ticket moja hapa ya bure, changamkia fursa ni PM sa ivi.
ndio mimi
we acha tu...! World Cup.....
huna ndugu au jamaa wa karibu!!!!!!!!!!!
Kwa hio hadi mtandao unatoa?
kuna mtu kakupa offer ya tiketi
Huu ndio ubabe ninaouzungumzia, kweli niende brazil na dada au kaka yangu. Natafuta mdada asiye ndugu yangu anisindikize.🙂
Anajifanya hajaiona.
mie alikuwa ananichekesha sana............
Nina ticket moja hapa ya bure, changamkia fursa ni PM sa ivi.[/QU
Vya bure sitaki
Unaniruhusu niende nae?kuna mtu kakupa offer ya tiketi
Nina ticket moja hapa ya bure, changamkia fursa ni PM sa ivi.[/QU
Vya bure sitaki
Hahahaha, regeza moyo bana. Takrima inaruhusiwa atiii
anajifanyaje kwani nae ana kifanyio!!!!
mpenzi huna!!!!!!!!!!!!