Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,143
Huyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais, siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko Magufuli but nimeshangaa jana kumuona akiwa kwa spika Ndugai...imekuaje tena? wataalam wa haya mambo mtujuze