Huyu Mlinzi wa Rais Magufuli kapatwa na majanga gani tena?

Madimba jr

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
1,577
3,138
Huyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais, siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko Magufuli but nimeshangaa jana kumuona akiwa kwa spika Ndugai...imekuaje tena? wataalam wa haya mambo mtujuze
2019-05-10_20.06.03.jpg
 
wajihi wake unaonyesha jamaa ni mtu so humble and innocent.

watu kama hawa wanafaa sana kuwa viongozi. nitafurahi siku moja nikisikia kateuliwa kushika nafasi fulani ktk ngazi ya mkoa au wilaya.

nina hakika ata fit vizuri na ataweza ku blend na jamii iliyomzunguka katika eneo lake la kazi.

mtazamo wangu tu.
 
Kuna TISS humble? wanapretend tu ili wapate wanachokitaka
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom