Huyu Mlinzi wa Rais Magufuli kapatwa na majanga gani tena?

Huyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais, siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko Magufuli but nimeshangaa jana kumuona akiwa kwa spika Ndugai...imekuaje tena? wataalam wa haya mambo mtujuzeView attachment 1093561
Yupo rotation
 
Back
Top Bottom