Huyu mke wangu tatizo

Jamani nimeoa mwaka huu mwezi wa pili tunaishi vizuri na mke wangu bila shida yoyote.

Menzi mitatu baada ya ndoa mke wangu akaanza kuleta marafiki zake wa kike tuishi nao wakati anajua kabisa tumepanga chumba kimoja wakawa wanakuja baada ya wiki wanaondoka wanakuja wengine hivyo hivyo nikimuambia mbona unaleta marafiki zako na tupo na chumba tu anasema wao wanakuja na awezi kuwafukuza .

Sasa huyu rafiki yake wa sasa aliyekuja ndio shida kaja toka mwezi wa 9 na wala anapango wa kuondoka yupo tu na shida nyingine ni mvivu sana hapa nipo kwenye mawazo kwasababu mke wangu ata ajali kwasababu toka aje huyo rafiki yake sijawai kufanya tendo la ndoa na mke wangu kwasababu awezi kufanya na yeye yupo hapo naona mke wangu wala aoni shida yeye yupo tu

Vipi jamani nifanye nini nimuondoe huyu shemegi hapa na ugwadu paka natamani nichepuke au nimle huyu shemegi akikataa itakuwa ndio njia ya kuondoka mwenyewe kwasababu kuna muda wife anawai kazini ananiacha mimi naye naombe ushauri nifanye nini imekuwa kero kubwa sana
Hvi wanawake wa dizaini hyo mabogus na ,mambwiga huwa mnawaokota mitaa ipi kwa hapo dar,shda wanawake wa sku hzi akili zipo makalioni,sijui hata wewe ukoje maana kwa haraka haraka unafanan na mkeo
 
Huyo sio mke ila umemuondolea tu nuksi kuwa hakuolewa, ametimiza dhamira yake hiyo. Angekuwa mke kwanza angejali mazingira yenu na angekujali kwahiyo angeondoa kbs maringira yanayoweza kupelekea wewe kuchepuka.
Chakufanya, ktk marafiki wanaokuja home chagua mmoja saafi tia mistari anza kujimegea taratibu hata huyo mke akijua aamshe tu ubaki na chombo ndani aone kama yeye atapata nafasi ya kuja kusalimia.
 
...mkeo anaamka kwenda kazini,wewe umelala tu....inaonesha jinsi gani mkeo anavyokulea kama mtoto,kaa utulie na uvumilie usije ukafukuzwa na mkeo
 
...mkeo anaamka kwenda kazini,wewe umelala tu....inaonesha jinsi gani mkeo anavyokulea kama mtoto,kaa utulie na uvumilie usije ukafukuzwa na mkeo
Yeye kazini uwa anawai sana asubuhi saa 12 mimi kazini naenda saa 2 asubuhi siyo kwamba sina kazi nakaa nyumbani
 
Ni mvivu mke wangu anaenda kazini yeye amelala akirudi anamkuta kalala yani ata vyombo ajaosha juzi mke wangu alikuwa ni zamu yake kufagia nje na kudeki choo akamuomba msaidie kufua nguo zilikuwa ameloweka yeye akifanya hizo kazi akasema wezi kufua wakati sisi tumevaa nilishangaa kwasababu mwezi anakula bure analala bure paka pesa ya kusuka anapewa
Wewe na mkeo hamjielewi kabisa angekuwa rafiki yangu anatoka na kiboxer mbona kesho yake ataaga, ila wasukuma kama hawajielewi hivi, ni shida sana, mnisamehe sana wasukuma ila nimekaa nao karibu nawajua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom