


Ni mvivu mke wangu anaenda kazini yeye amelala akirudi anamkuta kalala yani ata vyombo ajaosha juzi mke wangu alikuwa ni zamu yake kufagia nje na kudeki choo akamuomba msaidie kufua nguo zilikuwa ameloweka yeye akifanya hizo kazi akasema wezi kufua wakati sisi tumevaa nilishangaa kwasababu mwezi anakula bure analala bure paka pesa ya kusuka anapewa
And your still living with her,,,Ni mvivu mke wangu anaenda kazini yeye amelala akirudi anamkuta kalala yani ata vyombo ajaosha juzi mke wangu alikuwa ni zamu yake kufagia nje na kudeki choo akamuomba msaidie kufua nguo zilikuwa ameloweka yeye akifanya hizo kazi akasema wezi kufua wakati sisi tumevaa nilishangaa kwasababu mwezi anakula bure analala bure paka pesa ya kusuka anapewa




JAMII FORUM TUNAPENDA Ngono Sana kila mtu Anasema Shemeji Mtu aliwe wengine jamaa apige Threesome dah![]()
Wasukuma ni lini mtachangamka?? Mbona mmelala sana??? AaaahMke wangu Msukuma mimi na mke wangu na lala kitandani yeye katandika kagodoro chini
Kumbe msukuma, ndivyo walivyo wengi wao akitoka akakutana na mwenzie anamwambia twende kwa ndugu yetu, naye mgeni akikutana na mwingine naye anasombaMke wangu Msukuma mimi na mke wangu na lala kitandani yeye katandika kagodoro chini


pole sanaNilimtoa kwao kabisa na mahari nikalipa vizuri kabisa si ata tulioana kwa kutoroshana ni halali kabisahuyo mke wako ulimuokota wapi?mbona bogasi hivyo
sasa chakufanya ili umkomeshe mke wako asirudie tena jaribu uwe unamletea huyo rafiki wa mke wako zawadi nzuri nzuri alfu uwe una mpa attention.
hapo mke mke wako ataanza kuona wivu na mwenyewe ataanza mipango ya kumuondoa rafiki yake nyumbani kwako
HeheheJamii Forums ni sample ya Watanzania so it represent reality ya Wa Tanzania, so rekebisha na jumuisha kwamba wa Tanzania wanapenda Ngono
Sasa hapa unafanya ajeKuna mmoja jana aliweka Uzi kuomba ushauri wa kuoa, jamani hizi ndoa si jambo dogo la kulikurupukia.
Sasa kama mkeo tu ashakufanya fala hivi, kuendesha familia Kama baba utaweza kweli??
It can sound harshly lakini mkuu wewe wakiitwa "Waume" za watu ni vyema usiinuke tu.
Let's meet at the top, cheers![]()
Mkeo hajawa tayari kuwa mke, bado ana uschana ndani yake.Jamani nimeoa mwaka huu mwezi wa pili tunaishi vizuri na mke wangu bila shida yoyote.
Menzi mitatu baada ya ndoa mke wangu akaanza kuleta marafiki zake wa kike tuishi nao wakati anajua kabisa tumepanga chumba kimoja wakawa wanakuja baada ya wiki wanaondoka wanakuja wengine hivyo hivyo nikimuambia mbona unaleta marafiki zako na tupo na chumba tu anasema wao wanakuja na awezi kuwafukuza .
Sasa huyu rafiki yake wa sasa aliyekuja ndio shida kaja toka mwezi wa 9 na wala anapango wa kuondoka yupo tu na shida nyingine ni mvivu sana hapa nipo kwenye mawazo kwasababu mke wangu ata ajali kwasababu toka aje huyo rafiki yake sijawai kufanya tendo la ndoa na mke wangu kwasababu awezi kufanya na yeye yupo hapo naona mke wangu wala aoni shida yeye yupo tu
Vipi jamani nifanye nini nimuondoe huyu shemegi hapa na ugwadu paka natamani nichepuke au nimle huyu shemegi akikataa itakuwa ndio njia ya kuondoka mwenyewe kwasababu kuna muda wife anawai kazini ananiacha mimi naye naombe ushauri nifanye nini imekuwa kero kubwa sana